Kwa watumiaji wa Google Pixel

Biashara nyingine hii hapa wadau
Google Pixel 3 128GB Storage
Clean used US Stock
325,000 - simu na charger
0764081567
Dar es salaam


 
How much is 4a?
 
Chama la iPhone ni lingine kabisa mkuu ila camera kali inaanzia 12 Pro max hii ni moto kwenye selfie
Nipo kwenye 13 Pro max ni moto sana kwenye video na kibiashara
video it's the best sana

Naenda iPhone 14 Pro max soon ni mnyama kwa vyote front camera na back


Pia Google nimeona mnaisifia sana night shot mbona kwa iPhone ni jambo la kawaida sana hilo
 
Pixel inayokaa na chaji ni 5A tu,
Kunakipindi nilikuomba ushauri wa sim yenye camera kali ukanishauri nichukue Redmi note 10 duh! Nilivyoenda dukani nikaikuta bei imechangamka sana mpaka nikajichanganya nikachukua Redmi 10
. Nilivyo chukuaga Google pixel nikajiuliza huyu Chief-Mkwawa kwanini hakunishauri kuhusu Google pixel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…