Kwa watumiaji wa Google Pixel

Oky hiy ni battery imechomoka ukiweza ifungua chomeka battery
Mkuu ishu ya simu kuweka alama ya kiulizo niliipeleka kwa fundi akairekebisha na akasema tatizo ni connector ya battery

Ila saizi inagoma kusoma line inaandika temporarily unavailable




Na face unlock nayo imezingua

Halafu na Camera nayo inaonesha portrait yani kitu cha mbali haiwezi kuona mpaka ukisogelee karibu usawa wa nusu mita ndio itaonesha full details

Tatizo la face unlock ndio lilioelekea line iache kusoma baada ya kyi reboot simu ili ku fix hiyo face unlock
 
Inawezekana hajaifunga fresh, ifungue uifunge tena
 

Mafundi simu wengi sio mafundi mimi nina miaka mitatu now ndio naanza kusomea ufundi simu online nikaona kweli mafundi sio
 
Na hiyo miaka yote sijakamilika bado mwaka huu mwishoni natarajia kwenye software niwe na vifaa vyote mwakani nikomae na hardware sasa
 
Na hapo inaweza kua hardware au software !??
Hilo tatizo limekaa katikati ila ni rahisi kuanza na software, ikikataa ndo unakuja kwenye hardware

Mafundi wote makini huwa wanaanza ku troubleshoot software
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…