Kwa wateule hawa, bora Pascal Mayalla asiteuliwe maana itakuwa kumdhalilisha tu

Haiwezekani kichwa kilichojaa nondo na busara kama Pascal Mayalla kiwe kwenye teuzi na kundi moja la wanasiasa kama hawa.

Ukiangalia majina yalivyotoka ni wazi kuwa majina anapelekewa mwenye mamlaka ya kuteua bila kuangalia nani anafaa na ananondo za nguvu kiasi gani.

Ushauri tu kwa kada wa Ccm ndugu Mayalla awe mshauri tu wa serikali maana kuteuliwa sio ishu. Kama wasio na nondo na wapiga kelele wanateuliwa kuna nini cha maana kupata teuzi?
Mnamuharibia huyu Mtu wenu mkidhani mnamtetea na Kumpamba wakati nasikia katika ama Uteuzi ujao wa DED au DAS na hata Ubunge Mama anaweza Kumpa ( Kumkumbuka ) pia.

Threads kama hizi ni za Kumuharibia tu.
 
Naunga mkono hoja
 
Kwani Pascal Mayalla amekuambia aliomba ukuu wa wilaya akanyimwa? Au wewe ndio ulitamani ateuliwe halafu hakuteuliwa?

Sio teuzi zote, wala kazi zote zinatangazwaga mkuu. Wapo wateule wenye majukumu makubwa ambao hawajawahi tangazwa....

Paskali katulizana anachapa kazi zake wala hana lawama
 
Pasco anautaka sana ukuu wa wilaya. JPM alimchunia. Pasco alipata kura moja ya kwake tuu 2020 za wajumbe.
 
Yaani hawa wapuuzi wote walioteuliwa kwa kigezo tu cha kuwa Chawa wa ccm, wanaenda kutembelea V8 za kifahari, mafuta bure, nyumba bure, samani za ndani bure! Halafu tunatakiwa tukatwe hela kika siku kwenye line zetu za simu kwa ajili ya tozo za kujengea hospitali!

Huku tukichezea mabilioni ya shilingi kwenye matumizi ya hovyo hovyo kama haya! I wish ningekua Rais wa nchi hii! Huu ujinga nisinge uvumilia hata kidogo.
 
Mnamuharibia huyu Mtu wenu mkidhani mnamtetea na Kumpamba wakati nasikia katika ama Uteuzi ujao wa DED au DAS na hata Ubunge Mama anaweza Kumpa ( Kumkumbuka ) pia.

Threads kama hizi ni za Kumuharibia tu.
Bora asiteuliwe abakie kuwa mshauri tu kama hali ndio hii.
 
Kwani Pascal Mayalla amekuambia aliomba ukuu wa wilaya akanyimwa? Au wewe ndio ulitamani ateuliwe halafu hakuteuliwa?

Sio teuzi zote, wala kazi zote zinatangazwaga mkuu. Wapo wateule wenye majukumu makubwa ambao hawajawahi tangazwa....

Paskali katulizana anachapa kazi zake wala hana lawama
Umeandika nini sasa?
 
Haiwezekani kichwa kilichojaa nondo na busara kama Pascal Mayalla kiwe kwenye teuzi na kundi moja la wanasiasa kama hawa.

Ukiangalia majina yalivyotoka ni wazi kuwa majina anapelekewa mwenye mamlaka ya kuteua bila kuangalia nani anafaa na ananondo za nguvu kiasi gani.

Ushauri tu kwa kada wa Ccm ndugu Mayalla awe mshauri tu wa serikali maana kuteuliwa sio ishu. Kama wasio na nondo na wapiga kelele wanateuliwa kuna nini cha maana kupata teuzi?
Yeye mwenyewe anasemaje
 
Shida ya Pascal Mayalla kajificha humu JF tu na haonekani kwenye MAINSTREAM MEDIA sa mama atamuonea wapi?? Hivi Mayala wa kumfananisha na G. Zakaria, au Nikki II au Nyangasa?? Hell No!!

Nahisi a little effort has to be done to promote him.

Hivi tukiamua kwa nguvu moja regardless ya tofauti zetu kum-publish Mayala mnadhani hatatoka???

Tujaribuni tuwe na mwakili wetu.
Kwani alisema anataka teuzi !!??
 
Ile dhambi yake dhidi ya Eric Kabendela pengine ndo inayomtesa.

By the way,pamoja na promo tunayompa humu,huyu Pascal Mayalla ni snitch kama masnitch wengine tu. Alikuwa ananishangaza sana alivyokuwa anamfagilia Mwendakuzimu (maana lile la Mwendazake wamelikataa) na Bashite, pamoja na mateso yote yale waliyokuwa wanawasababishia Watanzania.

Pasco tubu kwanza.Mama anakuelewa jinsi ulivyokuwa pro-Mwendakuzimu, na anataka mbadilike kwanza ndo awape fursa.
 
Shida ya Pascal Mayalla kajificha humu JF tu na haonekani kwenye MAINSTREAM MEDIA sa mama atamuonea wapi?? Hivi Mayala wa kumfananisha na G. Zakaria, au Nikki II au Nyangasa?? Hell No!!

Nahisi a little effort has to be done to promote him.

Hivi tukiamua kwa nguvu moja regardless ya tofauti zetu kum-publish Mayala mnadhani hatatoka???

Tujaribuni tuwe na mwakili wetu.
Naunga mkono hoja,

Tuanze kumpromote member mwenzetu, hii hazina isipotee bure,
 
Back
Top Bottom