Juma kaka New Member Oct 19, 2011 3 0 Oct 20, 2011 #1 "uhai wangu uligana na umbo langu na uhai wangu wenyewe utegemea umbo la mtu mwingine"
J Jasiri New Member Dec 6, 2011 1 0 Dec 6, 2011 #3 kila mchukuzi huusifu mzigowe. msemo huu hulandana na mwingine upi?
Duduwasha JF-Expert Member Nov 3, 2010 5,703 3,653 Dec 11, 2011 #4 jibu ake ni CCM umri wako ni 50 kama Tanganyika
Tz-guy JF-Expert Member Aug 10, 2011 436 88 Dec 11, 2011 #6 Hii itakuwa ni dizaini flani hivi ya ugonjwa.
J jumaomondi New Member Nov 21, 2011 1 0 Dec 12, 2011 #7 ''uhai wangu ulingana na umbo wangu na huo uhai wangu hutegemea uhai wa mtu mwingine''
Askari Kanzu JF-Expert Member Jan 7, 2011 4,598 1,233 Dec 12, 2011 #8 "uhai wangu unalingana na umbo langu na huo uhai wangu unategemea uhai wa mtu mwingine"