Ngoja lije niliulizeKuna kolomije moja humu limejipa id hiyo ya mitale na midimu huwa linakesha humu kutetea upuuzi labda ungeliuliza
HakikaKuna kolomije moja humu limejipa id hiyo ya mitale na midimu huwa linakesha humu kutetea upuuzi labda ungeliuliza
Ninge penda kujua hili neno mitale na midimu, lina maana gani? kwa wasukuma. nalisikia sikia tu lakini sijui maana yake, pia kwa wa swahili mnao lijua maana yake, naomba kuwasilisha.
bange sio kitu kizuri...Kuna kolomije moja humu limejipa id hiyo ya mitale na midimu huwa linakesha humu kutetea upuuzi labda ungeliuliza
umeishapewa hapo juu...tupe na maana ya jina lako