Hii ina maana gani kiroho?

Azimio la kazi

Senior Member
Jun 7, 2023
138
451
Habari wanabodi ni matumaini yangu nyote ni wazima wa afya.

Ni wiki yangu ya pili nipo field hapa mkoani Tabora katika moja ya shule kubwa na kongwe lakini hadi sasa wanafunzi wamenichangia pesa na wame ninunulia simu aina ya oppo.

Kwa kweli Hali hii inanishangaza mana walimu tupo wengi lakini issue mimi.

Kwa ukweli nafundisha kwa moyo na upendo sana hadi usiku.

Pia nilipokuwa mwaka wa kwanza, field huko Kigoma wanafunzi wangu wa PCB walinichangia kama elfu 25.

Hali hii inanishagaza na naomba Kuuliza hivi Hali hii ina maaan gani kiroho.

napenda sana ualimu kuliko hata navyo penda wanawake
 
Habari wana bodi ni matumaini yangu nyote ni wazima wa afya.
Ni wiki yangu ya pili nipo field hapa mkoani Tabora katika moja ya shule kubwa na kongwe lakini hadi sasa wanafunzi wamenichangia pesa na wame ninunulia simu aina ya oppo.
Kwa kweli Hali hii inanishangaza mana walimu tupo wengi lakn issue mm.
Kwa ukweli nafundisha kwa moyo na upendo sana hadi usiku.
Pia nilipokuwa mwaka wa kwanza, field huko kigoma wanafunzi wangu wa PCB walinichangia kama elfu 25.

Hali hii inanishagaza na naomba Kuuliza hivi Hali hii ina maaan gani kiroho.

napenda sana ualimu kuliko hata navyo penda wanawake
Unajiweka kimaskini sana hadi watoto wanakuonea huruma,
Badilika.
 
Hapo sasa, baba zima linachangiwa na watoto elfu 25 halafu anauliza ina maana gani kiroho

Umaskini mbaya sana.
Vipi siku akienda shule za kishua "umaskini" wake ufanye achangiwe 50M hivi. Bado utacomment hivyo. Au kuchangiwa inategemea ni kiasi gani?
 
Vipi siku akienda shule za kishua "umaskini" wake ufanye achangiwe 50M hivi. Bado utacomment hivyo. Au kuchangiwa inategemea ni kiasi gani?
Kwa akili yako unaona kuchangiwa ni ufahari? Kwanini uchangiwe tena na watoto hata ikiwa 100M,
Wewe umeenda kufundisha au umeenda kuchangisha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom