JF sms hii ina maana gani uku JF

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
IMG_1031.png

Sijui Hili ni tatizo gani kila nikiwa na soma comment uku JF lazima nipate sms hii mwenye kujua naomba anisaidie

Réeseyer ( restarted)
Annuler ( cancel)
Système ( stystem)
 
View attachment 2776490
Sijui Hili ni tatizo gani kila nikiwa na soma comment uku JF lazima nipate sms hii mwenye kujua naomba anisaidie

Réeseyer ( restarted)
Annuler ( cancel)
Système ( stystem)
kwenye hii messeji ulopata

Server error occurred: '0 trim():
Argument #1 ($string) must be of type string, array given (Html.php:1573)'



Error hii inaonyesha Sever inataka kutumia trim() function kwye array (Html.php:1573) , ila sasa trim() function inafanya kazi kwenye strings peke yake means No intergers,Booleans au floats hapo...
Nb
  • string ni maneno..
  • na intergers ni Namba
  • na booleans ni Sentense za logic yaani true na false..

Meseji kama hii inaweza kutokea kama

kuna bug kwenye code ambayo ina generating system ya message au comments , au kuna shida ya data passage mpaka kwenye kifaa chako ili kuonyesha messeji..

since sisi hatupati hii meseji inabaki option namba mbili kuwa shida ipo kwenye kifaa chako...

kwahiyo there is a problem with the data that is being passed to the app. au server iko overloaded au ina experiencing shida kwenye kuload data zako kwenye hiyo apps au unatumia Apps ya zamani ambayo Haijawa updated....

unaweza kufanya vifuatavyo ili kuondoa shida...

  • jaribu kurestart apps tena na fanya kuclear cache....
  • jaribu kutumia Mtandao tofauti
  • tumia Updated version ya Jf au Tumia authorised version..

Vinginevyo Try kuwasiliana na Maxence Melo au Invisible
Au hata Active watakusaidia Tatizo lako
 
Back
Top Bottom