Ahmad Mussa
Member
- Oct 21, 2011
- 46
- 19
Umenena Vema sana, kwani washabiki tuko wengi... unajua watu mpaka leoNafikiri kuna umuhimu kuweka Jukwaa la Fasihi ili hawa watu nao wapate
nafasi nzuri zaidi, matokeo yake utawakuta jukwaa la Entertainment na
Lugha. Ni bora Mods mukafungua jukwaa maalum la watunzi.
Habari, nimetunga riwaya ambayo nategemea nitapata maoni yenu kwani iko mbioni
kuchapishwa. Na hapa nimeona niwawekeeni kitabu hicho na nitarudi kupata maoni yenu
baada ya kukisoma.
Nategemea sana maoni na ushauri wenu hasa kutoka kwa mzee mwanakijiji na Lizy kwani
wao nimewaona wakiandika hapa. Karibuni. (Kitabu kipo kwenye mfumo wa PDF)
View attachment 54349
Nakusubiri mkuu!Nimekiona, nitarudi kesho baada ya kukisoma.
Nakusubiri mkuu!Kwa kuwa umetutaka tufanye mapitio ya riwaya hii, nipe muda. Nitarudi muda si muda nikiwa na maoni yangu mkononi
Habari, nimetunga riwaya ambayo nategemea nitapata maoni yenu kwani iko mbioni
kuchapishwa. Na hapa nimeona niwawekeeni kitabu hicho na nitarudi kupata maoni yenu
baada ya kukisoma.
Nategemea sana maoni na ushauri wenu hasa kutoka kwa mzee mwanakijiji na Lizy kwani
wao nimewaona wakiandika hapa. Karibuni. (Kitabu kipo kwenye mfumo wa PDF)
View attachment 54349
Ningeshukuru kama mzee mwanakijiji angepita hapa.
Ahmad Mussa kumbe pana wanajamvi fulani fulani uliowalenga wakufanyie mapitio ya riwaya yako? Samahani; mimi nilijikuta nimedandia gari kwa mbele na nikaahidi kuifanya kazi hiyo ikiwa ni mchango wangu kama mwanajamvi. Ninarekebisha dosari hiyo kwa kujitoa rasmi ili ikikupendeza unipe mwaliko kama unavyotoa kwa wanagenzi wengine. Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh!Ningeshukuru kama mzee mwanakijiji angepita hapa.
Habari, nimetunga riwaya ambayo nategemea nitapata maoni yenu kwani iko mbioni kuchapishwa. Na hapa nimeona niwawekeeni kitabu hicho na nitarudi kupata maoni yenu baada ya kukisoma. Nategemea sana maoni na ushauri wenu wana JF wote ambao ni wapenzi na washabiki wa Riwaya. KARIBUNI. View attachment 54349
Omonto, tafadhali rudi hapa nakuhitaji na wewe pia, hao niliowataja mojaAhmad Mussa kumbe pana wanajamvi fulani fulani uliowalenga wakufanyie mapitio ya riwaya yako? Samahani; mimi nilijikuta nimedandia gari kwa mbele na nikaahidi kuifanya kazi hiyo ikiwa ni mchango wangu kama mwanajamvi. Ninarekebisha dosari hiyo kwa kujitoa rasmi ili ikikupendeza unipe mwaliko kama unavyotoa kwa wanagenzi wengine. Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh!
Nimejitoa!!!!!!!
Buchana bado hujamaliza?Ndugu mmoja alisema 'Watanzania ni wavivu' nikamuuliza 'katika nini?' Kumbe nimegundua sehemu mojawapo ni katika kujisomea! Mbona comments nyingi kabla ya kusoma? Nani kapitia riwaya hiyo?
Nitarudi nikimaliza kusoma.
Mkuu hapana! Hauko vizuri sana katika uchambuzi, sanasana umekosoaHahaha almasi si almasi...albino.Pole...
Matukio yanatabirika kirahisi....
Soma soma kwanza riwaya za wengine 'kwa sana'...
Mengine nawaachia watalamu uliowakusudia...hongera,umethubutu, umejaribu...unaweza kufanya vizuri zaidi ya hapo.
Omonto, tafadhali rudi hapa nakuhitaji na wewe pia, hao niliowataja moja
kwa moja ni kwa sababu nimewahi kuwaona kwenye Fani husika.