- Thread starter
- #21
1.Ukiwa single raha sana huwezi kufulia..!!
2.Unaweza kumput any1 under ur controll, with No Strings Attached!
3.Waweza kula bata utakavyotaka,ukalala popote.
Weare 2gather ma broooooooooooooo.mia.
1.Ukiwa single raha sana huwezi kufulia..!!
2.Unaweza kumput any1 under ur controll, with No Strings Attached!
3.Waweza kula bata utakavyotaka,ukalala popote.
1.Ukiwa single raha sana huwezi kufulia..!!
2.Unaweza kumput any1 under ur controll, with No Strings Attached!
3.Waweza kula bata utakavyotaka,ukalala popote.
Atajuaje ikikutosha raha yazawadi mpeane mkono wa asante. au unaonaje?
Mambo siku hizi rahisi zaidi kuna SIZE za nguo.
Size USA 8, UK 10(Ikiwa Victoria Secrets Lingerie, Light Pink, Nitampa honour ya kuivua!!! lol!) China 38!!!!!!!!! Asante itategemea na Ubora wa hiyo zawadi!!!!!!!
Mkono wa asante mtapeanaje??jitahidi uni pm ili mikono ishikane weweeeeeee.
Kisilo hujaweka ushihidi wa kiutafiti zaidi ya mawazo yako. Naona kama unajiridhisha kuwa unayafurahia hayo mateso. Nijuavyo mtu pweke ni uvundo hata uvundo huo auite manukato na uturi. Maisha single ni zahama ingawa tunayapigia upatu. I am trying to imagine jibaba la miaka zaidi ya 30 linaishi kisela ua jimama la umri huo likiitwa nunga. Hakuna anayeweza kufaidi hali hii otherwise awe mtoto si riziki.
WaAaT tEnA Mentor?
The Boss,ndio mana nimesema ukishindwa oa.lkn kudo bila ndoa noma kwa GOD.
Kwangu faida kubwa za kutoolew ni zifuatazo!!!!!!!
1.Kula vya bure vya wale wabishi hata uwaambie una mtu mara 200 wanaamini wananafasi tuuu, hadi ukivikwa pete ndo wanakubali GAME OVER!!!!!!!
2. Rahisi sana kupata msaada haswaa kazini, kutoka kwa watu wenye hidden agenda!!!!!!!!
3. Life is full of oppoetunities and promises, unaweza hata kuibua mume waziri atiiii!!! (Never say never!!!!!) Ila ukiolewa GAME OVER kama umepata umepata kama umepatikana umepatikana.
4. You control your life, hata ukiamka vibaya unaweza kutikia Dubai au Mascat Kimaisha na hudaiwi na mtu.
Hadi lini?
hasara za kuwa Single
- Kila ukilala dushelelee / kinu ni lazima kishtuke na hasa alfajiri.
- Lazima ulale chali na kuhesabu dari ili kuuvuta usingizi
- Paka wa jirani wakikweana nje au chumba cha pili lazima ukapige chabo
- Lazima upende Mume / mke wa mtu
- Hautampenda Single mwenzako kwa sababu unataka vya kunyonga
- Utachagua kila anayekatiza kwa kusoma plate No.
- Ukimpata Boss / Madam lazima utamuwekea wivu asirudi kwa Wife / Husb wake
- ukiugua hutapata matunzo,dawa au kugeuzwa kitandani sio lazima AIDS hata kuhara
- Ukifungwa jela kwa kung'ang'ania Mume / mke wa mtu hutatembelewa na mtu na huko....
- utakosa wakukulilia ukifa au Warithi wa jina au kukuita BABA /MAMA utakosa
- Tukikupeleka kwenye jeneza huwa tunashindilia GUNZI ili kukutambulisha hukuongeza ..
- NYUMBA YA MGUMBA HUWA HAINA MATANGA hata nguo ya ndani haigawiwi
- Nasikia hata huko tuendako mtaulizwa mlifanya kipi ili kuujaza ulimwengu????????????