Kwa wasio oa wala kuolewa.

Kwa wasio oa wala kuolewa.

1.Ukiwa single raha sana huwezi kufulia..!!

2.Unaweza kumput any1 under ur controll, with No Strings Attached!

3.Waweza kula bata utakavyotaka,ukalala popote.
hii ya kulala popote hii!sijui namwonaje binti anayelala popote !!yani hata nikiwa msichana nilikuwa nachukia rafiki anyekuja kwangu au kwetu na kupiga stori weee kisha huyo anaoga na kupanda kitandani!well ni mimi lakini ndo naiona imekaaaje sijui!hayo mengine its ur time enjoy lakini hili la kulala popote usingizi utakapokukutia hili lol!😕
:confused2:
 
Hiyo namba 7 si kweli. Ukiwa single kama ni mwanaume hakuna married man anakutaka karibu nae wala ummeet wife wake. Same for ladies, ukiwa single na kaumri kamesogea unaonekana mwizi mwizi tu hata ujiweke vipi,lol

Ndiyo maana jamaa yangu akiwa na mkewe nikiwa nao haishi kuniita muhuni? Aagh, mwatuonea tu!
 
Kunafaida 7 za kuishi bila mpenzi.
Nazo ni;....

(3)Hakuna sms wala call zisizo zalazima usiku wa manane.

Hii sio kweli. Wasio oa ndio wanaosumbuliwa kws sms na calls hata usiku. Halafu usidhani kwamba kila ndoa ina matatizo, wapo wanaofurahia sana maisha ya ndoa. Ni mazuri sana kwa walio tayari kuishi kwa ajili ya wengine, na ni kero kwa wenye ubinafsi.
 
Kunafaida 7 za kuishi bila mpenzi.
Nazo ni;....
(1)Unaweza kulala mda uutakao.

(2)Hujali unavyo onekana/kujishtukia.

(3)Hakuna sms wala call zisizo zalazima usiku wa manane.

(4)Unaweza kuongea na mtu yeyote kwa mda wowote.

(5)Utaishi maisha marefu bila ya kubughudhiwa.

(6)Utaepukana na fitina za watu.

na mwisho (7)Utaepukana na ugomvi usio wa lazima.

ushauli;lakini kama huwezi usizini oa kabisa utafanikiwa.
nawasilisha kwenu wana mkeka.

Hii ni kweli kabisa ila sio siri jamani kuwa katika hali hii kunahitaji uvumilivu sana tena sana, mateso haya wazee
 
Unakuwa una tumika tu, tukisha maliza ishu zetu tunasepa na we utabaki kama kituko. Be carefully wewe
 
SIPO KABISAAAAA!!!!!!!!!!! Aku bibi weeee si wametaka wenyewe!!!!!!! Kwani niliwaombaaaaa? Wajing ndio Waliwao!!!!!!!!!! Na CHAKUOKOTA SI CHA KUIBA, MWENYE MALI NI MJINGA!!!!!!!!!! Si maneno yangu mimi bali WAHENGA wenyewe waliyasema!!!!!!!!

message sent and delivered
 
Mimi sijaoa ila najua ndoa raha...av seen it in my parents!
Pili costs za leo nitoke na huyu kesho ntoke na yule zinakua directed kwa mtu mmoja tu..raha ilioje!??
Stress za kumsalimia tu demu ye akadhani ushamtongoza..
Mara, umemtext wewe asubuhi keshahadithia wenzake kumi..
Ghafla naomba 10,000 niende saluni (Pumbav, mi mmeo!??)
Acha tu kuwa single (and a man!) ni stress mara mia!
Ni heri uoe (na Mungu akubariki umuoe yule ambaye atakupa furaha maishani..mbona utasikitika kwa nn hukuoa mapemaaaa!...I love u Catherine wangu, wala sitamani kuwa single boy)
 
Last edited by a moderator:
1.Ukiwa single raha sana huwezi kufulia..!!

2.Unaweza kumput any1 under ur controll, with No Strings Attached!

3.Waweza kula bata utakavyotaka,ukalala popote.

Usiwadanganye wenzako wakafa na njaa bure, HUYO MWANAUME WA KUKUPA HIYO PESA YA KUTOSHA MATUMIZI YAKO HAYUPO. INAVYOONEKANA WEWE UNA UWEZO HAPA UNATAKA KUONGEZA TU. KAMA WALIVYOSEMA WAKUBWA AMBAO YAMEWAKUTA KUNA UMRI UNAHITAJI STARA, HUWEZI KUKAA PEKE YAKO, PIA MTOTO ANA RAHA YAKE NA WANASEMA MPAKA UMPATE MTOTO NDIO UTAJUA ULICHOKUA UNAKIKOSA. SASA JE KWANINI UZAE NJE YA NDOA. ANGALIA SANA MAISHA HAYAKO KIHIVYO MAISHA NI KUMTII MWENYE KUKULETA HAPA DUNIANI.
 
Haa ndugu yangu uwezi kukaa rafu useme watu hawatanisema kwa kuwa sina mke, mimi sijui kama utaweza kuishi bila mke au meme
 
Kunafaida 7 za kuishi bila mpenzi.
Nazo ni;....
(1)Unaweza kulala mda uutakao.

(2)Hujali unavyo onekana/kujishtukia.

(3)Hakuna sms wala call zisizo zalazima usiku wa manane.

(4)Unaweza kuongea na mtu yeyote kwa mda wowote.

(5)Utaishi maisha marefu bila ya kubughudhiwa.

(6)Utaepukana na fitina za watu.

na mwisho (7)Utaepukana na ugomvi usio wa lazima.

ushauli;lakini kama huwezi usizini oa kabisa utafanikiwa.
nawasilisha kwenu wana mkeka.

Ili uweze kuyakamilisha vizuri hayo saba uliyoyaandika, basi ng'oa kabisa via vya uzazi. Maana kuna wakati akili zinahamia huko tu. Sasa ili zibaki huko huko kichwani, ng'oa kabisa.
 
Hahahaaaaaaaa! Umetumwa na PASTOR nini uje utoe ushuhuda wa kututishia MA SENIOR BACHELOR!!!!!!!!!!!!! Ushuhuda wako watishaaa kweli kweli ila HAUTISHI KAMA KUWA SINGLE BAADA YA DIVORCE!!!!!!!!!!!!! Wengine hatuolewi kwa kuchagua sana kuogopa kurudi in a similar position ila in different status!!

baada ya kufanya comperative analysis nimegunduwa kuwa ni bora kuwa cngo mara mia!
 
Usiwadanganye wenzako wakafa na njaa bure, HUYO MWANAUME WA KUKUPA HIYO PESA YA KUTOSHA MATUMIZI YAKO HAYUPO. INAVYOONEKANA WEWE UNA UWEZO HAPA UNATAKA KUONGEZA TU. KAMA WALIVYOSEMA WAKUBWA AMBAO YAMEWAKUTA KUNA UMRI UNAHITAJI STARA, HUWEZI KUKAA PEKE YAKO, PIA MTOTO ANA RAHA YAKE NA WANASEMA MPAKA UMPATE MTOTO NDIO UTAJUA ULICHOKUA UNAKIKOSA. SASA JE KWANINI UZAE NJE YA NDOA. ANGALIA SANA MAISHA HAYAKO KIHIVYO MAISHA NI KUMTII MWENYE KUKULETA HAPA DUNIANI.
Mkuu mjanja wewe, nakujibu maswali yako kwa a be che kama ifuatavyo dear: HUNIJUI SIKUJUI NA WENZANGU HUWAJUI...HOW CAN YOU-SEMA NAWADANGANYA WENZANGU???!!! INAELEKEA UNATEGEMEA SANA KUPEWA ELA NA MWANAUME...WELL WENGINE KUPEWA NI EXTRAS TU..MWANAMKE KUJIAMININI NA KUWEZA KWANZA,ATAKAE KUPA UNAPOKEA...KUOMBA USIZOEE!! HUO UMRI WA STARA UKIFIKA UNAJISITIRI TUU MBONA,NA USIDANGANYIKE ETI UKIWA DOUBLED NDO UNASTARA..KUNA MIZEE NA MIJIMAMA MJINI MBONA MULE MULE TUU!! MTOTO KUPATA NI MIPANGO NA MAJAALIWA YA MWENYEZI MUNGU NA OFCOZ SIYO KUISHI SIMGLE MILELE BUUT UNAJIBREKISHA UDABONI NA KUWA SELFISH KIDOGO 4UR OWN HAPPINESS. KUMALIZIA HII NA KADHALIKA YAKO NASHINDWA COZ UNAONEKANA UMENISOMA KIVINGINE VINGINE...WITH IMPERSONAL ISHUUUUUZ!!
 
...endelea kujidanganya!
Kunafaida 7 za kuishi bila mpenzi.
Nazo ni;....
(1)Unaweza kulala mda uutakao.

(2)Hujali unavyo onekana/kujishtukia.

(3)Hakuna sms wala call zisizo zalazima usiku wa manane.

(4)Unaweza kuongea na mtu yeyote kwa mda wowote.

(5)Utaishi maisha marefu bila ya kubughudhiwa.

(6)Utaepukana na fitina za watu.

na mwisho (7)Utaepukana na ugomvi usio wa lazima.

ushauli;lakini kama huwezi usizini oa kabisa utafanikiwa.
nawasilisha kwenu wana mkeka.
 
Not enough to justify your position

Back
Top Bottom