Kwa wasafisha macho tu:

Uhuru wa kuongea,co lzm kuchangia

Kuna watu wajinga na ambao wanatambua ujinga wao,hawa wakiambiwa wasiyopenda kusikia wanatumia ujinga walionao kujustify mapungufu yao...Kuna wengine wanajikuta kwenye ujinga bila ridhaa yao,hawa wakisha kujitambua huwa wanaacha kuogelea kwenye ujinga... Kwa kutambua kua ujinga ni adui wa taifa watu kama wewe hatuwezi kuwaacha...lazima ufundishwe kubadilika!
 
Mmesha pewa tahadhar mje mlaumu serikal sasa kuwa haijatoa msaada

"Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kutokea upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa baharini katika maeneo yote ya Pwani kuanzia kesho na kesho kutwa"

Mwisho wa kunukuu.
 
Back
Top Bottom