Kwa wapenzi wa tamthilia ya sultan

Kwa wapenzi wa tamthilia ya sultan

Na hilo besi ndio sauti yake halisi au
Hapana ni fundi wa sauti tu, kama umeangalia t junction yupo ndio best actor mwaka juz nadhani

Screenshot_20180726-160950.jpg
 
Duuh. Mie nawahi sana kurudi home ila usingizi shoo. Yaani naweza lala saa moja nikamwambia mdada wangu niamshe muda ukifika ila akiniamsha sasa naeza muitikia kisha nikarudi kulala.
Ukitaka update nzuri mfollow esha buheti anapenda sana kuihadisia ukisoma na comments umemaliza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha yule mwingine si walimuozesha aliechomwa kisu na gulsha
Maria Alisha olewa kuna yule aliye haribu mambo kwa faras wa princess harafu kana sura kavuuuuuu sio kama gulla maana gulla akikabwa roba tu Ibrahim atasema kila kitu ila Kale like big up kweke
 
Hahahaaa. Ili Ibrahim Umbuke eeeee?

Ila wanaume hapana bana baada ya kumtumia tu hataki hata kumuoma dada wa watu. Lol
Masikin hadija alivyo kuta mtandio was nigatkhalifa chumban hakua hats na habar
 
Maria Alisha olewa kuna yule aliye haribu mambo kwa faras wa princess harafu kana sura kavuuuuuu sio kama gulla maana gulla akikabwa roba tu Ibrahim atasema kila kitu ila Kale like big up kweke
Kale nakapenda kajasiri sana
 
Masikin hadija alivyo kuta mtandio was nigatkhalifa chumban hakua hats na habar
Alinichosha pale ujue. Nikawa najisemea kweli wazungu wametuacha mbali.

Nikajisemea ningekuwa mie ningeliamsha dude tena dude haswaa. [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Halafu eti anamrudishia kirahisi kabisa lol.
 
Yaani nahis ungeliamsha hata LA hullem lingesubiri
 
Yaani nahis ungeliamsha hata LA hullem lingesubiri
Wacha kabisa shooo.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tena chumbani kwangu ingenichukua muda kuelewa kwa kweli.
 
Back
Top Bottom