Kwa wapenzi wa tamthilia ya sultan

Kwa wapenzi wa tamthilia ya sultan

Ila hurrem alicho mfanyia princess jaman eti MTU anakidonda harafu yeye kakazana anakandamiza princess
Ila yule naye alinishangaza inamaana alishindwa kupiga ukunga.

Hivi majibu ya Sultan huwa mnayaelewa? Maana huwa anajibugi jeuri na vinachoma saa nyingine mpaka nasikiaga hasira.
 
Kiboko ya hurrem
Screenshot_20180726-163432.jpg
 
Nigar anamimba, ni suala la muda tu! Namkubali kwa kutunza siri. Hurem kamsitiri kufukuzwa kwenye kasri kwa moyo mzuri ingawa Nigar anakitabu chake, hakutaka fanya blackmail.
 
Nilipenda saa ile wanagombana nyumbani kwa Kadije huku Sultani anawasikiliza nikasema lol.

Wanampa kichwa kweli.

Je jana Hurrem alivyoichoma ile karatasi yenye maneno matamu ya mfalme mpaka akaungua vidole ulipaona. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila yule naye alinishangaza inamaana alishindwa kupiga ukunga.

Hivi majibu ya Sultan huwa mnayaelewa? Maana huwa anajibugi jeuri na vinachoma saa nyingine mpaka nasikiaga hasira.
Sultan wao jeuri kama nini
 
Nigar anamimba, ni suala la muda tu! Namkubali kwa kutunza siri. Hurem kamsitiri kufukuzwa kwenye kasri kwa moyo mzuri ingawa Nigar anakitabu chake, hakutaka fanya blackmail.
Duuuh. Patachimbika

Kadije ndio atachizika kabisaaa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilipenda saa ile wanagombana nyumbani kwa Kadije huku Sultani anawasikiliza nikasema lol.

Wanampa kichwa kweli.

Je jana Hurrem alivyoichoma ile karatasi yenye maneno matamu ya mfalme mpaka akaungua vidole ulipaona. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilipaona..ile barua aliaandika alivyoenda vitani kumuondosha king layosh huko Hungary
 
Nina wasiwasi ibrahim kamtuma nigar khalfa kwa hurrem
 
Nilipaona..ile barua aliaandika alivyoenda vitani kumuondosha king layosh huko Hungary
Oooh. Kumbe aliitunza ili awe anajifariji?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ila ana maneno Sultan ana Matamu bana

"Malaika wangu, jua langu, mwezi wangu, dunia yangu, joto langu, baridi langu, kipenzi changu, ........."

Nilicheka lol.
 
Kwa hii tamthilia, Bongo Movie kama ni hatua 100 hata kumi hawajafika ktk kuleta uhalisia wa uigizaji. Siku zote Movie ni Majibizano ya maneno picha kirahisishi cha kuelewa tuu. Mi hata nikiwa busy, nikiweza kusikia sauti tuu naelewa kinachoendelea ila sio kwa BM zetu.
 
Yaani kwenye iyo tamthilia nampenda yule mkaka ambae mkewe amekufa kwa town Ila hawa wengine wakina gulla sijui sumbura Ibrahim sura zao wanazijua wenyewe
Mzee wa sijali... Ananikosha sana hata mimi.
 
Oooh. Kumbe aliitunza ili awe anajifariji?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ila ana maneno Sultan ana Matamu bana

"Malaika wangu, jua langu, mwezi wangu, dunia yangu, joto langu, baridi langu, kipenzi changu, ........."

Nilicheka lol.
Mchepuko wangu hapo nilichekaa
 
Back
Top Bottom