Kwa wapenzi wa tamthilia ya sultan

Kwa wapenzi wa tamthilia ya sultan

Yaani kwenye iyo tamthilia nampenda yule mkaka ambae mkewe amekufa kwa town Ila hawa wengine wakina gulla sijui sumbura Ibrahim sura zao wanazijua wenyewe
 
Wacha kabisa shooo.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tena chumbani kwangu ingenichukua muda kuelewa kwa kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi we unaona kabisa hadije zimo kweli kichwan? Me nahisi dishi lisha yumba
 
Yaani kwenye iyo tamthilia nampenda yule mkaka ambae mkewe amekufa kwa town Ila hawa wengine wakina gulla sijui sumbura Ibrahim sura zao wanazijua wenyewe
Ila iliniuma wewe yaani unaoa leo kisha jioni Mke anakufa ni uchungu sana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi we unaona kabisa hadije zimo kweli kichwan? Me nahisi dishi lisha yumba
Mie pia sijawahi muona mzima ujue tena toka apate ndoa basi wivu uliokithiri ni wake, ukali wake basi shida tupu.

Litakuwa limeyumba sio bure. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ila hurrem alicho mfanyia princess jaman eti MTU anakidonda harafu yeye kakazana anakandamiza princess
 
Mama wa mawivuu
Screenshot_20180726-163541.jpg
 
Back
Top Bottom