[emoji91] [emoji91] [emoji91] kuna nyngne inaitwa Sofa,,,Yeba aseee
Kuna moja ya ktambo kdogo inaitwa MamaYeba aseee
Pain killer hatari sanaPain killer sarkodie na runtown i cant go a day bila kuusikiliza
Nifichie huu ushamba niko mweupe kabisa kwenye hizi mamboMwifwa karibu huku
Naipenda hii nyimbo japo sijui anaimba vitu ganiiYeba aseee
Ngoma za kinaija wengi wao wanaimba kilugha sema mpangiliao wa beat,uimbaji unajkuta Unaipenda tuNaipenda hii nyimbo japo sijui anaimba vitu ganii
Tayali mkuu,,,Natumai ushampata
Bonge moja la wimbo