Uko poa mbona,,Sijaupenda sana etii
Dija anajua sana,,, sema anafunikwa na kvuli cha Tiwa Savage kuwepo pale Marvin RecordsDijà -
Huyu Dada namkubali kiasi.
Like dat na Fia hbr nyngne hzoDavido tumemsahau
Duu kama hiyo fia nilihisahau kuiorozesha kwenye list shukrani kwa kuitaja mkuu.Like dat na Fia hbr nyngne hzo
Ipo vzr chiefDuu kama hiyo fia nilihisahau kuiorozesha kwenye list shukrani kwa kuitaja mkuu.
Yeah of course mkuu.track moja matata sana.Ipo vzr chief
Siioni manya ya wizkid hapo..! Basi nasikitika kusema kuwa siikubali list yako..!Anointing - Mr eazi
Soft work - falz
Bad baddho baddest - falz ft davido
Holla up - Mr eazi
Phyno - connect
Desire - F.a ft chidnma
Holla holla - sugar boy
Wallahi - run town
Pana - tecno
Where - tecno
Koffi anan - yemi aladee
Btw my faves.
Bt hii playlist ya muda,,, hyo Manya unayoisema ni nymbo mpya,, hlf sio ya Wizkid km unavodai,,, kashrikshwa wizkidSiioni manya ya wizkid hapo..! Basi nasikitika kusema kuwa siikubali list yako..!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] thank you so much, + I love you - P.squareNo one like you, P square
Seyi shay namuelewa Sana,,, kwenye vdeo zake anaswaga flan hv,,,Seyi shay - reverse