Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Numbisa muonee huyu Gen Z anaspoil yote na website nnayopakua wanaeka j.pili

Jaman recom ya variety nyingine, uhakika si upo
Unaangalia Couple Palace?
Kuna My Sibling Romance pia!
Pia nimeanza kuangalia Alumni Lovers

Anyway ngoja nikuspoil zaidi yule Dong Jin ni mkuda mmoja anamtreat Dahye kipuuzi akiwepo sehemu aliyopo anaondoka,hataki kuongea nae anaenda date ya Hyewon ila yeye akimuona Dahye anavyocheka na Dong Jin na vile wanavyoelewana eti roho inamuuma.

Kwa mara ya kwanza nimeona Dahye akiongea kwa hasira jamaa anadhani ni yeye peke yake anaumia huku Dahye ndio anayeumia zaidi kalia sana siku za mwanzo.

Mtu humtaki halafu unaona wivu akiwa na another guy huo ni uchawi na ubinafsi
2024-08-08_15-08-37.jpg
 
mzee wa spoilers anafunguka tu hajali anapitiliza kuvuruga uhondo husika.

Saiv nimenasa kwenye family drama. Realities zimekaa kando hata mnazoangalia saiv sijazivuta
Nilivyofunguka sio vyote utaviona kwa episode nimeongeza na mtazamo wangu juu ya situation kulingana na uzoefu wangu
 
Sijui ndio kuzeeka, siku hizi sina mzuka wa kdrama kabisa. Mimi ni wa kuangalia drama moja miezi miwili kweli???
 
Disney+ utaratibu wao wa kuachia episodes za drama upoje?
ni wiki moja imepita bila ya muendelezo wa the impossible heir.
wiki ya kwanza waliachia episode 4.
 
Nzuri kweli ila najikaza mana namhurumia yule main lead wa kiume anavyopelekeshwa
Acha tuone itakuaje huko mbele
Ishu sio kuonewa,kama family members Hae In atadeal nao kuanzia sasa
Tatizo kubwa ni wife kabakiza miezi 3 ya kuishi ugonjwa wake hauna uhakika wa kutibika.Now bond yao itakuwa imara kwa sababu Hae In kashajua kuwa Hyun Woo ndio mtu pekee anayemjali japo jamaa moyo na ubongo vinapingana.
Moyo unauma kuhusu hali ya wife ila akili inaweza negative kwamba wife akifa watakuwa wameachana tayari haina haja ya talaka

Tukirudi kwenye trailer kuna cut imenimaliza nguvu kabisa Hae In ameegamia begani mwa Hyun Woo hopelessly huku jamaa machozi yanamtoka

Sad ending hii ya kifo labda miujiza itokee
 
Mimi series za sad ending zinanikera mno,naombea tu hii isiwe na sad ending
 
Hujazeeka rol modo ni kukinai mimi ndo maaana Sub yangu ni variety shows, nikichoka choka

Kuna kipindi ni kama drama zilizopo haziridhishi baada ya two ep
Hii ni real real spoiler ilitoka kabla hata maex wa Kwang Tae na Sang Jeong hawajafika

Imenimaliza nguvu

Marafiki wa Hwihyun wanatoa ubuyu hovyo i wish iwe wanawadanganya watu
IMG_20240312_144239.jpg
 
Hii ni real real spoiler ilitoka kabla hata maex wa Kwang Tae na Sang Jeong hawajafika

Imenimaliza nguvu

Marafiki wa Hwihyun wanatoa ubuyu hovyo i wish iwe wanawadanganya watuView attachment 2933616
Nilioona mimi had yu jung na chang jin wanarudiana, hyewon atamsubir dong jin kumbe kaenda kwa ex wake

Pamoja na yote nataka nione itafikiaje hapo
 
Nilioona mimi had yu jung na chang jin wanarudiana, hyewon atamsubir dong jin kumbe kaenda kwa ex wake

Pamoja na yote nataka nione itafikiaje hapo
Mimi hizo 2 nataka ziwe hivyo ila kutokuona Changjin na Yujung imenikata maini.

Kwang Tae namhurumia sana mwanzo nilidhani kamove on kwa ex wake namna alivyokuwa bize kuwafukuzia Seokyung na Yujung kumbe ilikuwa ni kati ya njia za kumsahau ex wake,but jamaa bado anapenda pale.

Mapenzi ya ajabu sana watu huwa tunaamua kupenda pale ambapo panatuumiza

Jongeun anammezea mate Dong Jin,Hyewon na Hwihyun wale wapo confused tangu day one na kawaida hiyo bila shaka walienda kuconfess kwa watu ambao wamesharudi kwa maex wao.

Confusion za kipuuzi ndio shida ila hii season maex wakitulia tungeona hata couple 4 zinazorudiana
 
Back
Top Bottom