Mie zangu niTop 3 time travel korean drama
1. Rooftop prince
2. faith
3. Queen and i
Ngoja niitafuteRooftop prince ni moto wa kuotea mbali
Moon Lovers itabidi niirudie tena..naipenda mnoMie zangu ni
1. Mr Queen
2. Moon lovers
4. Dr Jin
Nimeimaliza Replay 1988 ila nataman niifute akili kwangu niitzame tena upyaaaa drama moja kaliii sanaaaaaa
nimeshaimaliza kuitazama hii drama, fanya basi kunitumia mtaji wa millioni 100 ili nianzishe biashara yangu na nakuahidi utapata gawio la 20% itakayotokanwa na faida itakayozalishwa, ila usisahau hii biashara niliyoilenga muhasibu nitakuwa mwenyewe (P&L statement itakuwa ni lose kwa miaka 10 kama zilivyo kampuni za uchimbaji madini)"Sang Do" hii ni moja kati ya series kali kati ya ambazo nimewahi kuziona, ITOSHE kusema ni series kali. Zile dhana tunazojifunza huko Vyuo vya walavi kuwa Mjasiliamali ni Risk taker, Restless, sijui anajua ku spot opportunities, anabadili shida kuwa fursa, sijui Ups and downs,, yote utayakuta humu ndani.
sema huyu jamaa hawajawahi kumtendea haki madirectors na script writer, siku zote namuona upande wa kamati ya roho mbaya kama gream reaperpichani ni muhuni wenu huyu nipo naye kwenye Hur Jun na Sang do, kote ni mzee Wa Fitna. Kiukweli anaziweza fitna huyu
namiliki line za mitandao yote maarufu nchini, hao Airtel ninavyowatamani majira ya usiku lakini ndio hivyo network inakuwa spidi ya kobe.dae una vituko. Mie nimeganda kwa airtel walipo nipo nao kwa night bundle hope hawatabadili watatutesa sana
내가 여기 있어요Nilijua Utanisahau 네가 자기야.
보고싶다.
좋아해요.내가 여기 있어요
사랑한다 사랑한다 오직 단 한사람
스치는 바람처럼 우리가 지나가지 않길
============
복사 및 붙여 넣기
내가 여기 있어요
사랑한다 사랑한다 오직 단 한사람
스치는 바람처럼 우리가 지나가지 않길
============
복사 및 붙여 넣기
New Drama Lost Ina Mahadhi Ya My Mister (Najua We Nishabiki Namba Moja Wa Hii) Unaeza Angalia Na hii Pia Japo Iko Nzito Na Emotional.내가 여기 있어요
사랑한다 사랑한다 오직 단 한사람
스치는 바람처럼 우리가 지나가지 않길
============
복사 및 붙여 넣기
Hiyo, on rooftop inahusiana na nini?.
Mie bado nipo episode ya 33/50( Sang Do), hii tabia ya kufuatilia series za miaka ya zamani wewe Daemusin ndie uliyeniambukiza mara baada ya kunipa recommendation ya The Age of warriors( 2003), Wang gun( 2000-2002). Kisha nianza kunogewa zaidi nilipoitafuta Dae jang geum( 2003), Damo( 2003), Emperor of sea( 2004), Yi san( 2006), The Great King Sejong( 2008). Na sasa nipo kwenye Hur Jun(1999-2000) na Sang do(2001-2002). Endapo nitazimaliza nitatafuta zingine japo changamoto kubwa huku( miaka hii ya zamani) baadhi ya Series kali hazina subtitles.
Kuna mtu atakwambia hapendi kuangalia series za zamani sababu ya quality, lkn kwa mtu apendaye story nzuri huku ndo kwao.
pichani ni muhuni wenu huyu nipo naye kwenye Hur Jun na Sang do, kote ni mzee Wa Fitna. Kiukweli anaziweza fitna huyu mwamba.View attachment 1923328
siku hizi umehamia japan, nimeamua nikutafutie jina linaloendana na mapenzi yako.
kuanzia leo nitakwita ajinomoto suzuki
ahsante sana,New Drama Lost Ina Mahadhi Ya My Mister (Najua We Nishabiki Namba Moja Wa Hii) Unaeza Angalia Na hii Pia Japo Iko Nzito Na Emotional.
kiupande wangu sina majibu, niliangalia episode 5 tu takribani miaka 4 iliopita.Nimemaliza Penthouse nimeipenda sana
nataka niangalie Cruel Palace je ni nzuri?