Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

jamani amkeni, amkeni wizara mpya ishafanya ya kwake.
sasa ni rasmi tumestaafishwa kufuatilia movies, series na drama kwa njia ya mtandao.
  1. bando la usiku limeondoshwa
  2. kifurushi cha siku kwa GB 1 kimeondoshwa
  3. vifurushi vyenginevyo vimerambwa mnoooo
halotel hongereni kwa hichi mulichotufanyia
============

upande wa zantel kwa huku zanzibar
kutoka GB 3 kwa siku kwa shilingi 2000 hadi mb 900 kwa shilingi 2000
na mabadiliko mengineo
===========

watu wa Airtel na vodacom vipi huko tunaweza kuhamia?
sisi wengine tunahitaji japo kifurushi cha usiku
=========
kikao kimeanza rasmi chenye lengo la kujadili haya mabadiliko, kama huamini ingia kwenye menu yako.
aminas mlevi mwenzangu uliyebobea
Numbisa mlinzi mwenzangu wa usiku tunatokaje
talnam mfukuza upepo kimya kimya
missyrose mlevi mwengine wa korea
Great Conqueror huko kaskazini huduma zenu ni nzuri?
na malegendary wengineo mukipata wasaa muhudhurie kwenye kikao

dah! bye bye wakorea?
TTCL mambo yako moto
 
Hiyo drama nimeikuta naona kama action nizakutosha tatzo no Eng sub
Screenshot_20210410-141746_Chrome.jpg
 
Kwa Anaetafuta Drama Ya Kuangalia Na Pendekeza Hizi Kwa Sasa

1.MOUSE- 마우스 - Kati Ya Drama Bora Kwangu Kwa Sasa Japo Inanipa Wakati Tata Ninapoiangalia Bae (Seung gi) Umu Ndani Kaua ni On-going Ipo Ep Ya 11 Kwa Sasa Kila Jumatano na Alhamisi Ni Nzuri Sana.

2. Vincenzo - Kwanza Iko Popular Sana Kwa Sasa Korea Na Ata Nje Ya Korea Nayo Pia Ni On-going Ina Vivitu Flani Ivyi ambavyo Vinakufanya Usahau ata Ya Dunia.
 
Mouse inatisha, Yan usiku wa kuamkia jana mpaka nliweweseka ile Ep 8 Ila nimo hapa nimeshusha ya 11.

Vincenzo very refreshing
 
aminas hiyo "Mouse" inahusiana na Nini? Pamoja na "Vincenzo" ili inishawishi kucheki
 
Mimi Huaga Najitahidi Kuangalia Asubuh au Mchana Ila Niwe Na Muda Wa Kuangalia Vingine Ili Niisahau Ikikaa Iyo tu Kichwani Inanisumbua.

Zile Episode Za Mwanzo wakati Sijaanza Kuielewa Niliangalia Usiku Ilikua Mwanzo na Mwisho Sijarudia Tena Na Kiukweli Drama Za Ivyi Siwezagi Angalia Ila Hii Nimejikaza Sana Labda Nataka Kuona Utofauti Wa Seung Gi Na Umu Ndani Ni Kawa Wa Tofauti Sana.
 
aminas hiyo "Mouse" inahusiana na Nini? Pamoja na "Vincenzo" ili inishawishi kucheki
마우스 Ni Thriller Na Mystery Drama, Serial Killer, Wanaonyesha Namna Ya Awa ma Serial Killer Walivyo na Vinasaba Vya Kiuaji Tangu Wakiwa Matumbon Mwa Mama Zao Na Mara Nyingi Hua Wanarithi Kutoka Kwa Wazazi Wao au Mazingira yanawafosi kua Ivyo.

Kwaiyo Ni Vita kati ya Wauaji na Polisi Tena Ni Wale Wauaji Wauaji Kumjua Utumie Akili Sabbau ni Watu Wenye Akili Nyingi Kutokana Na Drama.
 
Kwa Anaetafuta Drama Ya Kuangalia Na Pendekeza Hizi Kwa Sasa

1.MOUSE- 마우스 - Kati Ya Drama Bora Kwangu Kwa Sasa Japo Inanipa Wakati Tata Ninapoiangalia Bae (Seung gi) Umu Ndani Kaua ni On-going Ipo Ep Ya 11 Kwa Sasa Kila Jumatano na Alhamisi Ni Nzuri Sana.

2. Vincenzo - Kwanza Iko Popular Sana Kwa Sasa Korea Na Ata Nje Ya Korea Nayo Pia Ni On-going Ina Vivitu Flani Ivyi ambavyo Vinakufanya Usahau ata Ya Dunia.
Sorry mamii hii mouse inahusu nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Anaetafuta Drama Ya Kuangalia Na Pendekeza Hizi Kwa Sasa

1.MOUSE- 마우스 - Kati Ya Drama Bora Kwangu Kwa Sasa Japo Inanipa Wakati Tata Ninapoiangalia Bae (Seung gi) Umu Ndani Kaua ni On-going Ipo Ep Ya 11 Kwa Sasa Kila Jumatano na Alhamisi Ni Nzuri Sana.

2. Vincenzo - Kwanza Iko Popular Sana Kwa Sasa Korea Na Ata Nje Ya Korea Nayo Pia Ni On-going Ina Vivitu Flani Ivyi ambavyo Vinakufanya Usahau ata Ya Dunia.
Naanza kuzifuatilia wiki hii
 
마우스 Ni Thriller Na Mystery Drama, Serial Killer, Wanaonyesha Namna Ya Awa ma Serial Killer Walivyo na Vinasaba Vya Kiuaji Tangu Wakiwa Matumbon Mwa Mama Zao Na Mara Nyingi Hua Wanarithi Kutoka Kwa Wazazi Wao au Mazingira yanawafosi kua Ivyo.

Kwaiyo Ni Vita kati ya Wauaji na Polisi Tena Ni Wale Wauaji Wauaji Kumjua Utumie Akili Sabbau ni Watu Wenye Akili Nyingi Kutokana Na Drama.
onlyalvira Maelezo Yake Na Haya Apa Mami.
 
마우스 Ni Thriller Na Mystery Drama, Serial Killer, Wanaonyesha Namna Ya Awa ma Serial Killer Walivyo na Vinasaba Vya Kiuaji Tangu Wakiwa Matumbon Mwa Mama Zao Na Mara Nyingi Hua Wanarithi Kutoka Kwa Wazazi Wao au Mazingira yanawafosi kua Ivyo.

Kwaiyo Ni Vita kati ya Wauaji na Polisi Tena Ni Wale Wauaji Wauaji Kumjua Utumie Akili Sabbau ni Watu Wenye Akili Nyingi Kutokana Na Drama.
aminas umeniambia kwa upande wa MOUSE tu Asante kwa Hilo vipi kuhusu VINCENZO inahusiana na Nini?
 
Mbona series kali ndo umeziendea taratibu??hyo six flying dragons ulipata wapi ujasiri wa kuishia njiani?? kwakweli nilikesha alafu nilikua ntaifatilia ikiwa bado ongoing nilishindwa kuivumilia iishe.

Hiyo arang ngoja niieke kwny list......za mizmu ya uwongo na ukweli niliipenda gumiho na the scholar who walk at night (skumbuki jna vzuri)
Six flying dragon aimalizie hadi aisee yi bang won mtoto nyoko Sana yule
 
Back
Top Bottom