Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,364
trh.24yes amependeza japokuwa hajakushinda wewe.
heri ya kuzaliwa na wewe japokuwa sijui tarehe sahihi.
Mhhhhh!
trh.24yes amependeza japokuwa hajakushinda wewe.
heri ya kuzaliwa na wewe japokuwa sijui tarehe sahihi.
Bogoshipoyes amependeza japokuwa hajakushinda wewe.
heri ya kuzaliwa na wewe japokuwa sijui tarehe sahihi.
wowtrh.24
Mhhhhh!
binti wee mbona nipoBogoshipo
Hahahaha! Utayatuma Kwa Email!?wow
niemeshafanya maandalizi ya ndoo ya maji.
kazi kwako
Upo Lakini Nakuona Bizee Sana, Hongerabinti wee mbona nipo
siwezi kukukimbia bila ya dharura ya msingi.
i hope it will ......................Hahahaha! Utayatuma Kwa Email!?
kweliUpo Lakini Nakuona Bizee Sana, Hongera
InshaAllahi hope it will ......................
Ndo Wakati Wako Huu Wakutumika.kweli
inanilazimu nitumikie kila upande
na wewe pia mpendwaInshaAllah
kabla sijazeeka kwa mara ya pili?Ndo Wakati Wako Huu Wakutumika.
Nayasubir Kwa Amu Tele.i hope it will ......................
chonde chonde na device yako.Nayasubir Kwa Amu Tele.
Wazee Ndo Wazuri.kabla sijazeeka kwa mara ya pili?
Usijali, Uvumilivu Inayo Kwa Kiwango Chochote Cha Maji.chonde chonde na device yako.
je ni water proof?
tumuombe Mungu atujaalie tuzidi kuwa hai, pia atuzidishie uimara wa afya na kipato.Usijali, Uvumilivu Inayo Kwa Kiwango Chochote Cha Maji.
Inahitajika Kujibuje Kwanza!?tumuombe Mungu atujaalie tuzidi kuwa hai, pia atuzidishie uimara wa afya na kipato.
wengi wetu tunatamani kusherehekea siku yetu ya kuzaliwa kwa kufanya yale mazuri yanayofanywa na wengineo lakini tunajikuta tunashindwa.
mara nyingi sababu inaweza kuwa ni afya au kipato ndio maana nikatanguliza kwa kumuomba Muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ndani na nje yake atuzidishie uimara.
happy birthday kwa mara nyengine tena.nahofia huenda ikafika hiyo siku ya alkhamis hatimaye nikajikuta napitikiwa kukutakia kheri ya kuzaliwa.
kama itakuwa hivyo natumai utanisamehe.
InshaAllah Amiin. Allah Ataleta Kheri Zake.tumuombe Mungu atujaalie tuzidi kuwa hai, pia atuzidishie uimara wa afya na kipato.
wengi wetu tunatamani kusherehekea siku yetu ya kuzaliwa kwa kufanya yale mazuri yanayofanywa na wengineo lakini tunajikuta tunashindwa.
mara nyingi sababu inaweza kuwa ni afya au kipato ndio maana nikatanguliza kwa kumuomba Muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ndani na nje yake atuzidishie uimara.
happy birthday kwa mara nyengine tena.nahofia huenda ikafika hiyo siku ya alkhamis hatimaye nikajikuta napitikiwa kukutakia kheri ya kuzaliwa.
kama itakuwa hivyo natumai utanisamehe.
umeniwekea mtego?Inahitajika Kujibuje Kwanza!?