scalethat
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,063
- 1,883
Ni
Asante sanaaaaaaaaa.na hakika sitojutia maana nakuaminia......ndo nimeianza hivyo now.tena kaigiza bae wng uwiiiiii najua ni bonge la picha hajawai kuniangusha huyu mtu.nashukuru sanahamuna tatizo wala hujanisumbua kihivyo, ni makosa yangu nimeshindwa kuweka taarifa rasmi kwa muda mrefu.
nasumbuliwa na ugonjwa wa kuandika comment na kuifuta baada ya muda mchache.
ugonjwa huu kitaalamu unaitwa comment diagnosis kolomijee.
mungu ametutofautisha binadamu na viumbe wengine kwa kutuzawadiwa maarifa lakini si binadamu wote tunaotumia maarifa yetu ipasavyo kwa dhumuni la kuyakabili maisha yetu ya kila siku.
kang pil joo ni miongoni mwa viumbe hai wanaotufundisha jinsi gani mwanadamu anapaswa kuyatumia maarifa aliyopewa na muumba wake kwa ajili ya kutimiza malengo yake ya maisha aliyojiwekea.
itafute kwanza money flower drama naamini hutojutia maamuzi yako.
nitalipa fidia ya bando lako na mwengine yeyote kama atachukizwa na hii project.
mchana mwema.
View attachment 1122570