Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,353
- 8,465
Wakuu kama mnavyotuwekea majina ya series naomba mtuwekee na nyimbo kali za baadhi ya series. Nilikuaga na nyimbo za boys over flowers na land of wind tu.
Unamzungumzia yule main character aliyeact km lee daegil?Mimi majina yao siyafaham zaid wanayoyatumia kwenye uigizaji ila namkubari sana jamaa aliye act slave hunter ambaye pia ka act iris...
slave hunter kali kinyama
Huyo huyo mkuuUnamzungumzia yule main character aliyeact km lee daegil?
Pamoja kaka mie nilianza na jumong, then nikaangalia nyingi sana sana ila nilikwama kwa IRIS na nikatosheka na LOBBYIST daaahNow tafuta moja matata ya lobbyist
Utakutana na Harry Kim , maria yoo, pamoja na madam chae bila kusahau James Lee wazee wa lobbying and dead weapons deals dealing in international politics
Mkuu hiyo "secret" ni ipi maana zenye majina kama hilo ziko nyingi.Binafsi hadi sasa nimeangalia zifuatazo
-iris. -the time btn dog and wolf
-faith. -ghost
-god of war. -the great seer
-bridal mask. -city hunter
-playful kiss. -princess man
-the worrier dong soo
-innocent man
-iris
-that winter the wind blows
-Gu family book(kangchi)
-jang ok jung in love
-mandate of heaven
-heartless city
-shark
-empire of gold
-Jung Yi, the goddness of fire
-sword and flower
-good doctor
-two weeks
-secret
-King's daughter Su Baek Huang
-A little love never hurts
-empress Ki
-medical top team
-the heirs
-let's eat
-miss Korea
-glorious days
-king gwageto
-who are you
-emergency couples
-I need romance
-inspiring generation
-beyond the clouds
-sly and single again
-3 days
- God's gift-14 days
-new leaf. -big man
-hotel king. -golden cross
-gap dong. -wonderful days
-Angel eyes. -triangle
-doctor stranger -
-you are all surrounded
-endless love. -trot lovers
-josean gunman
-gated to love. -temptation
-It's okay, it's love
-my secret hotel
-secret door. -rosy lovers
-cantabile tomorrow
-Pinocchio. -the King's face
-Mr Back-Baek
-healer. -Maids
-punch. -Hyde, Jekyll and me
-kill me, heal me
-shine or go crazy
-spy
-
-
Kuna app inaitwa [HASHTAG]#dramania[/HASHTAG] unaweza kuwatch online au kudownload
Lee Min Ho alipata ajali mbaya 2006 alinusurika kifo alilazwa hospitali kama mwaka mzima na ana machuma mwilini mwake bado impact ya ajali anayo,alikuwa na rafiki yake Jung Il Woo naye muigizaji wa drama kama flower boy ramyum shop,49 days(scheduler) n.k ..Jung Il Woo tayari yupo jeshini naye huduma za kijamii so hawawezi kuserve ile army ya kigumu sana.Damushinmuhyool heshima kwako.
Huu uchambuzi umesimama yani umenianzishia wikiendi vizuri sana kunywa maji hapo kwa bill yangu.
Naona mahandy wengi mwaka huu ni wao, sasa Lee min hoo ana udhuru gani mpaka anatumikia jeshi kwa shughuli za kijamii? Namuona mayai yeye na mwenzie Jang keun suk...lol
Tutawamiss lakini soon tutawaona kama ilivyokuwa kwa Song Joong ki. Nimekuona unavyomkubali Lee Seung gi nikushukuru sana kwa kunitambulisha kipaji chake cha uimbaji...ongeza maji mengine Nifah atakuja na Kimbap utafunie.
maskini oppaLee Min Ho alipata ajali mbaya 2006 alinusurika kifo alilazwa hospitali kama mwaka mzima na ana machuma mwilini mwake bado impact ya ajali anayo,alikuwa na rafiki yake Jung Il Woo naye muigizaji wa drama kama flower boy ramyum shop,49 days(scheduler) n.k ..Jung Il Woo tayari yupo jeshini naye huduma za kijamii so hawawezi kuserve ile army ya kigumu sana.
Mie ni mpenzi sana wa hizo tamthilia za kikorea ila siku hizi napata shida sana kuzipata maana nyingi zilizopo zimetafasiriwa kwa kiswahili na watafasiri wengi huwa wanakosea sana kutafasiri na inaondoa ladha kabisa ya series yenyewe, sasa kama kuna mtu anajua ntapata wapi ambazo hazijatafasiriwa aniambie pliz
Zilizotoka ni Season 1 & 2.Mwenye muendelezo wa IRIS jamani