successor
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 3,078
- 6,123
Mkuu kaangalie Temptation
Asante mkuu, ngoja niitafute
Mkuu kaangalie Temptation
Asante mkuu. Unatumia simu au pc?Uwe Na browser inaitwa Maxthon Cloud Browser halafu ingia katika Watch Korean drama online, Korean drama English subtitle"/URL]. hapo ni bando yako tu
Natumia PC kudownload hapoAsante mkuu. Unatumia simu au pc?
Poa mkuuNatumia PC kudownload hapo
Hiyo ni Kali sana hutajutaNimepita sehemu nikakuta mtu anaangalia Six flying Dragon...
Nimeanza kuipenda itabidi nianze kuitafuta
Angalia GU AM HAE JOON, sosono yule ktk jumong yupo. Pia akina muno(wotae), oi, mukol, mo pal mo nawengneo waliokuwepo ktk prince of legend/jumong wapoNasakaw tamthilia nyingine ya kikorea aliyopo Sosunho yule katika Jumong,,,,,,,,maana nimeona nyingi lakini sikutani naye.
Asante sana nitaitafuta hiyo.Angalia GU AM HAE JOON, sosono yule ktk jumong yupo. Pia akina muno(wotae), oi, mukol, mo pal mo nawengneo waliokuwepo ktk prince of legend/jumong wapo
ina action mkuu?Nimepita sehemu nikakuta mtu anaangalia Six flying Dragon...
Nimeanza kuipenda itabidi nianze kuitafuta
yaah ina action na ni nzurii sana
Mi nimeziona mbili tu hapo ya 9 na 10.My favorites korean historical drama
1. Ballad of sok dong
2. King gwagaeto the great
3.Jumong
4.kingdom of the winds
5. Empress ki
6. Flower in the prison
7.great Queen sendeok
8.six flying dragons
9.great seer
10.iljimae
11.the return of ilijimae
12.Bichunm
13.princess man
14. Merchant geukuju
15.yeong sil
16.warrior baek dong so
17 . Gye baek
18. Sword and flowe
19.great King's dream
20.dong yi
21.yi san
22. Hong gil dong
23.maids
24.the legend
25. Slave hunter
26. Shine or go crazy
27. Emperor of the sea
Duuuh katika hizi nimeona tano tu. Nna safari ndefuMy favorites korean historical drama
1. Ballad of sok dong
2. King gwagaeto the great
3.Jumong
4.kingdom of the winds
5. Empress ki
6. Flower in the prison
7.great Queen sendeok
8.six flying dragons
9.great seer
10.iljimae
11.the return of ilijimae
12.Bichunm
13.princess man
14. Merchant geukuju
15.yeong sil
16.warrior baek dong so
17 . Gye baek
18. Sword and flowe
19.great King's dream
20.dong yi
21.yi san
22. Hong gil dong
23.maids
24.the legend
25. Slave hunter
26. Shine or go crazy
27. Emperor of the sea
Hivi ndio kusema ulininyima series eeeeh???Jamani hii The Moon That Embraces The Sun inaniliza hadi kichwa kinauma.
Nipo episode ya 5 sasa...
Daaah Wakorea ni noma.
Uwiiiiiiii uwiiii jamani mambo ni mengi sana HF,nisamehe pls.Hivi ndio kusema ulininyima series eeeeh???
Wakorea ndo basi tena Dunia hii hawana wenzao kwa drama kali.Jamani hii The Moon That Embraces The Sun inaniliza hadi kichwa kinauma.
Nipo episode ya 5 sasa...
Daaah Wakorea ni noma.
Achaaaaaa hakunaga tena kama Wakorea mkuu.Wakorea ndo basi tena Dunia hii hawana wenzao kwa drama kali.
Watch na The Fugitive Plan B hii nayo noma sana.