Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako! | Page 65 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Discussion in 'Entertainment' started by Kazz0, Mar 22, 2015.

 1. Kazz0

  Kazz0 Member

  #1
  Mar 22, 2015
  Joined: Mar 15, 2015
  Messages: 48
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 15
  Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.

  Tuambiane;

  - Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?

  - Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')

  -Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?

  Pia:

  - Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?

  - Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?

  - Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?

  - Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)

  *Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!

  Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!

  =========

  Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;

  Be Strong Geum Soon

  Princess Ja Myung Go

  THREE DAYS (2014)

  Swallow the Sun

  Jumong

  King Guenchoggo

  =====

  Links za ku-download drama za Kikorea;

  - Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
  - GoodDrama.Net


  ======

  Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread)
  ..

  Kazi kwako.. Enjoy!
   
 2. Reneezyme

  Reneezyme New Member

  #1281
  Jan 8, 2017
  Joined: Jan 7, 2017
  Messages: 1
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Hlw guys
   
 3. B

  Betterhalf Senior Member

  #1282
  Jan 8, 2017
  Joined: Dec 20, 2016
  Messages: 176
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Mimi ni mdau wa Korean movies.Kuna jamaa alichukua DVD zangu kurudisha imekuwa mgogoro.Mwenye nazo naomba anitumie.
   
 4. B

  Betterhalf Senior Member

  #1283
  Jan 8, 2017
  Joined: Dec 20, 2016
  Messages: 176
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Kiongozi naomba unitumie
   
 5. Khantwe

  Khantwe JF-Expert Member

  #1284
  Jan 8, 2017
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 17,262
  Likes Received: 1,799
  Trophy Points: 280
  Umeona eeh? Yaani mimi pamoja na roho yangu ngumu nililiaa
   
 6. Nifah

  Nifah JF-Expert Member

  #1285
  Jan 8, 2017
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 24,842
  Likes Received: 20,680
  Trophy Points: 280
  Nililia pale Yeon Woo alipofanyiwa mauchawi akaumwa sasa alipokuwa anatolewa nje ya palace crown prince alivyokuwa analia...
  Uwiiiiiii

  Na hata pale Yeon alipokufa acha tu.
  Wakorea wanajua bwana
   
 7. e

  edson Dominic Jr Senior Member

  #1286
  Jan 8, 2017
  Joined: Nov 9, 2016
  Messages: 100
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
 8. shamajengo

  shamajengo JF-Expert Member

  #1287
  Jan 8, 2017
  Joined: Jan 17, 2015
  Messages: 613
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 80
  Mkuu shikamoo kwenye arrow huwa nairudia sijui kwanini
   
 9. Khantwe

  Khantwe JF-Expert Member

  #1288
  Jan 8, 2017
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 17,262
  Likes Received: 1,799
  Trophy Points: 280
  Aisee achana kabisa na hawa watu. Ndio maana mi nlikuwa nashangaa zikitajwa historical drama hii haitajwi??
   
 10. Nifah

  Nifah JF-Expert Member

  #1289
  Jan 8, 2017
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 24,842
  Likes Received: 20,680
  Trophy Points: 280
  Labda wengi hawajaiona,mimi ndio kwanza nipo episode ya 9,kama sio The bold ningeshaimaliza Wallah
   
 11. hiwalisi

  hiwalisi Member

  #1290
  Jan 8, 2017
  Joined: Jul 3, 2013
  Messages: 24
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 5
  Mimi nataka unitajie website yakupata YEOM GAE SO MUN iliyowekewa english subtite
   
 12. Khantwe

  Khantwe JF-Expert Member

  #1291
  Jan 8, 2017
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 17,262
  Likes Received: 1,799
  Trophy Points: 280
  utaachika uambiwe ukaolewe na yule Kim Soo Hyun shauri yako we waendekeze hao wakorea wako
   
 13. ZamdaIssa

  ZamdaIssa JF-Expert Member

  #1292
  Jan 8, 2017
  Joined: Nov 10, 2015
  Messages: 657
  Likes Received: 978
  Trophy Points: 180
 14. EMPTY

  EMPTY JF-Expert Member

  #1293
  Jan 8, 2017
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
 15. EMPTY

  EMPTY JF-Expert Member

  #1294
  Jan 8, 2017
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Mkuu, jaribu hiyo link hapo chini. Sikuijaribu hivyo sina uhakika kama ina eng sub. Tatizo ni kuwa ina countdown kabla ya kugenerate link!

  Yeon Gae Somun
   
 16. EMPTY

  EMPTY JF-Expert Member

  #1295
  Jan 9, 2017
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Check ile post, nime-update links!
   
 17. EMPTY

  EMPTY JF-Expert Member

  #1296
  Jan 9, 2017
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
 18. EMPTY

  EMPTY JF-Expert Member

  #1297
  Jan 9, 2017
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Giant
   
 19. EMPTY

  EMPTY JF-Expert Member

  #1298
  Jan 9, 2017
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
 20. EMPTY

  EMPTY JF-Expert Member

  #1299
  Jan 9, 2017
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
 21. EMPTY

  EMPTY JF-Expert Member

  #1300
  Jan 9, 2017
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
Loading...