Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Be melodramatic

Issue makers

Ni kupoteza MB mfyuuu zao

Sijui kwanini the great show inanipa uvivu kuiangalia. Kila nikianza kuicheki napata usingizi mkali mpaka nimeigeuza dawa ya usingizi.
 
Yoo Seung Ho Confirmed To Be In Talks For New tvN Mystery Drama
On October 18, tvN confirmed that the actor was in talks for the leading role in its upcoming drama adaptation of the popular webtoon “Memorist.” A representative of the network officially stated, “Yoo Seung Ho is currently in talks to star in tvN’s new drama ‘Memorist,’ with a favorable outlook.”

The source added, “‘Memorist’ is scheduled to air sometime next year. The exact programming schedule has not yet been decided.”

Based on the hit webtoon of the same name, “Memorist” will be a mystery thriller that tells the story of Dong Baek, a detective with supernatural powers who loses his memory, as he stumbles upon a mysterious case of serial murders.

===========================================================
mwaka 2020 tunauanza upya na kituo chetu pendwa cha tvN
  1. yoo seung ho = hajathibitisha ila hawezi kukataa
  2. cho seung woo = secret forest season 2.
  3. jung hae in
 
Kim Soo Hyun In Talks To Star In First Drama In 5 Years
On October 17, Ilgan Sports quoted a source from the drama industry and reported that Kim Soo Hyun will be starring in a new tvN drama titled “Psycho But It’s Okay” (literal title) that’s set to air in the first half of next year.

A source from the actor’s agency Keyeast said to Newsen, “tvN’s ‘Psycho But It’s Okay’ is one of the drama’s he’s considering.”

According to Ilgan Sports, “Psycho But It’s Okay” is fantasy romance drama about a community health worker at a psychiatric ward who lives on 1.8 million won (approximately $1,520) a month and a storybook writer with antisocial personality disorder. A man who denies love and a woman who doesn’t know love defy fate and fall in love, finding their souls and identities in the process.



================================================
na huyu mwengine japokuwa hajathibitisha ushiriki wake.
tvN oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hizo tabia zilifanya nikachukia kuangalia Movies ya Drama za Magharibi.
Tabia hizo zilinikera nilipokuwa naitazama Spartacus ( Blood and Sand).
Najua hizo ni movement za watetezi wao, wachojaribu ni kuifanya akili binadamu ione kama hilo ni jambo la kawaida. Mbali na hapo ni ku- promo ushoga ili wawe wengi si wajua watakuwa wamoja kwenye umoja kuna Nguvu. Washenzi sana hawa wahuni.
Ni vigumu kuiunganisha KOREA sababu ya Culture factor, hao wahuni wa S.Kusini wengi wanaendelea ku- adapt Umagharibi kwenye Tamaduni zao, na utamaduni siku zote ndio alama ama utambulisho wa jamii ama Taifa na Bara Husika. na ndugu zangu wa N.Korea wao kama ni muziki wa Hip hop basi ni ile Old skool rap( Ngumu) hawa bado moyoni mwao ni wa Joseon/ Wagogryeo. Watazame kuanzia lugha yao it's pure natural, mavazi yao. Hahaha hapo ndipo pataleta mgongano katika suala la Tamaduni,maana wanaume wa S.K washazoea kujipodoa wakati kule kwetu tunawaza namna ya kutengeneza Hwangseong 16.
S.K wakihalalisha UBWABWA sitashangaa maana Ni moja kati ya chakula kitamu.
 
Hiyo Drama sijaiona.

RIP
 
Mkuu Silla ya zamani ilikuwa upande upi
Isijekuwa ilikuwa kusini wakati mimi na ushoga ni kushoto na kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…