koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,790
- 10,374
Dah aiseeee kwa hiyo ndio umeona leo
Ooh jamani, RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh jamani, RIP
Mnatumiana kwa njia gani nami nipate?Mheshimiwa Admin, episode 4 ya Vagabond uliyoiweka katika zipped folder haiplay, nimejaribu na kwenye PC imegoma kabisa.
Msaada tutani, naomba uitume kawaida kama episode nyingine, asante.
telegramMnatumiana kwa njia gani nami nipate?
Can i have access with that...?telegram
teh teh itabidi unipe ajira ya kukuchagulia drama ili kuepusha kuchoma GB zako mara kwa maraBe melodramatic
Issue makers
Ni kupoteza MB mfyuuu zao
Sijui kwanini the great show inanipa uvivu kuiangalia. Kila nikianza kuicheki napata usingizi mkali mpaka nimeigeuza dawa ya usingizi.
Can i have access with that...?
With pleasure
teh teh itabidi unipe ajira ya kukuchagulia drama ili kuepusha kuchoma GB zako mara kwa mara
davinci amekuja kivyengine, ni mwendo wa lugha ya kibepari utadhani tupo irelandWith pleasure
Nimeiga hichi kizungu hapo juu
davinci amekuja kivyengine, ni mwendo wa lugha ya kibepari utadhani tupo ireland
ndiye mwenyewe.Hee sikujua kumbe hako ka jamaa ni ka da vinci
kidogo kidogo wakorea wanajiingiza kwenye mila za kimagharibi, sijui wanatupa ujumbe gani hawa wavimba macho.
aminas hii drama ni nzuri kweli?
- graceful family: mmoja kati ya mtoto aliyekuwa akipendwa wa kiume alikuwa ni mfuasi wa imani ya transgender.
- designated surivor drama: president park alishawasilisha sheria ya kuruhusu mahusiano ya jinsia moja, bahati mbaya sana akakutana na upinzani mkubwa kupitia watu wa ndani ya serikali yake pamoja na wapinzani wake wa nje.
tale of nokdu: hii drama sijawahi kuiangalia, si ajabu kumshuhudia mwanamme akiigiza uhusika wa mwanamke na hivyo hivyo kwa mwanamke na mifano ipi mingi sana ya drama nilizowahi kuzishuhudia. Sijawahi kushuhudia mwanamme akimbusu mwanamme mwenzake. tuachane na hayo bwanaaaa, huyu kijana jang dong yoon kama macho yako yana makengeza kama the great conqueror unaweza kudhani ni mwanamke wa ukweli kumbe ni meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.. View attachment 1237302
kama ni mbaya utapata adhabu ya bakora kama za mkuu wa mkoa wa mbeya, na ameshawaambia musipotafuta wachumba mutapata adhabu.
binafsi bakora siziwezi hivyo basi wiki hii nitakuwepo kanisani kwa mara ya kwanza
hivi kanisa lina milango mingapi?
Hiyo Drama sijaiona.October 30 bwana kim ju hyeok atatimiza miaka miwili tokea aondoke kwenye huu ulimwengu uliojaa raha na maudhi chanzo kikiwa ni ajali.
ulishawahi kuiangalia Gu Am Heo Joon a.k.a hur jun historical drama?
jamaa hakusoma muhimbili wala john hopkins lakini alikuwa ni zaidi ya genius kwenye ulimwengu wa tiba.
View attachment 1237077
Mkuu Silla ya zamani ilikuwa upande upiHizo tabia zilifanya nikachukia kuangalia Movies ya Drama za Magharibi.
Tabia hizo zilinikera nilipokuwa naitazama Spartacus ( Blood and Sand).
Najua hizo ni movement za watetezi wao, wachojaribu ni kuifanya akili binadamu ione kama hilo ni jambo la kawaida. Mbali na hapo ni ku- promo ushoga ili wawe wengi si wajua watakuwa wamoja kwenye umoja kuna Nguvu. Washenzi sana hawa wahuni.
Ni vigumu kuiunganisha KOREA sababu ya Culture factor, hao wahuni wa S.Kusini wengi wanaendelea ku- adapt Umagharibi kwenye Tamaduni zao, na utamaduni siku zote ndio alama ama utambulisho wa jamii ama Taifa na Bara Husika. na ndugu zangu wa N.Korea wao kama ni muziki wa Hip hop basi ni ile Old skool rap( Ngumu) hawa bado moyoni mwao ni wa Joseon/ Wagogryeo. Watazame kuanzia lugha yao it's pure natural, mavazi yao. Hahaha hapo ndipo pataleta mgongano katika suala la Tamaduni,maana wanaume wa S.K washazoea kujipodoa wakati kule kwetu tunawaza namna ya kutengeneza Hwangseong 16.
S.K wakihalalisha UBWABWA sitashangaa maana Ni moja kati ya chakula kitamu.