FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,416
- 7,828
Huyo ni Mzee wa makamo Jun Kwang-ryul.Hii ameigiza pia huyu mwaba hapo chiniView attachment 1182368
Pia naomba kujua filamu kadhaa alizoigiza huyu jamaa..namkubali sana aisee..move zake nyingi ni akili sana..hakurupuki
Hapa unamzungumzia Ji Sung.Pia kama kuna anayejua kazi kadhaa za huyu mwamba hapo chini anipe nizijue..ama aniambie yuko wapi nije kuzifuata..
View attachment 1182371
Duh! Hilo pengine ni kutokana na 'Role' ya Ji Chang-wook.Episode ya 9 tu nimeikinai
Nawe pia mkuu, pamoja na wadau wote katika Tasnia hii ya Burudani hususani K-Drama.Nakuheshimu sana jombaaaa
Nimeona mbili tu za defendant na swallow the sun..jamaa namkubali sana katika kazi zake..vipi naweza pata kwenye flash hizo kazo zake kama unazo mkuu??Hapa unamzungumzia Ji Sung.
Kazi alizofanya Ji Sung hususani Drama zipo nyingi tu na zifuatazo ni baadhi tu:
- Defendant (2017)
- Kim Su-Ro, The Iron King (2010)
- Kill Me, Heal Me (2015)
- Royal Family (2011)
- The Great Seer (2012)
- Swallow the Sun (2009)
- Protect The Boss (2011)
- Secret Love (2013)
- Entertainer (2016)
- Doctor John (2019)
- Familiar Wife (2018) n.k.
Katika hizo za kifalme ipi ameigiza kama head of enuch derpartment ?? Ambapo anakuwa mlinzi mkuu wa familia ya kifalme pamoja na kuasili mtoto ili awe mwanawe??Huyo ni Mzee wa makamo Jun Kwang-ryul.
Kama unahitaji "ya kifalme" basi bila shaka utakuwa unahitaji Historical Drama na katika Historical Drama alizoigiza huyo mzee nguli kabisa katika Tasnia ni kama zifuatavyo;
- Jumong (2006)
- Warrior Baek Dong Soo (2011)
- Jang Hee-Bin / Royal Story (2003)
- King and I (2007)
- Royal Gambler (2016)
- Flower in Prison (2016)
- Jung-Yi, Goddess of Fire (2013)
- Heo Joon (1999)
Kati ya hizo nilizokutajia, alizoigiza kama 'Mfalme' ni mbili nazo ni;
- Jumong (2006): Aliigiza kama Mfalme Geumwa wa Buyeo
- Jang Hee-Bin / Royal Story (2003): Aliigiza kama Mfalme Sukjong wa Joseon
Kazi nyinginezo alizofanya huyo mzee wa makamo ni kama ifuatavyo;
- Swallow the Sun
- The Man in the Mask
- Witch at Court
- You Are Too Much
- Sign n.k.
Mpaka hapo nadhani tutakuwa tumekula ng'ombe mzima kasoro mkia ambao bado tunautafuta.
Mara nyingi huwa natumia njia ya kuzitazama katika tovuti ama 'Online' kama wadau wengine pia wafanyavyo humu ambayo ni njia nzuri tu kwa sababu popote utakapokuwepo na Smartphone yako tu yenye kifurushi cha 'Internet' cha kutosha ama sehemu yenye Wi-Fi, unaweza kuzitazama.Nimeona mbili tu za defendant na swallow the sun..jamaa namkubali sana katika kazi zake..vipi naweza pata kwenye flash hizo kazo zake kama unazo mkuu??
Kwa maelezo hayo uliyoyatoa nadhani utakuwa ukizunguzia Drama ya mwaka 2007-2008 inayokwenda kwa jina la The King and I. Kama ndiyo hiyo unayozungumzia ambayo ndiyo hii hapa pichani, basi 'Link' ya kuipata ipo hapo chini:Katika hizo za kifalme ipi ameigiza kama head of enuch derpartment ?? Ambapo anakuwa mlinzi mkuu wa familia ya kifalme pamoja na kuasili mtoto ili awe mwanawe??
Yes ndio hiiKwa maelezo hayo uliyoyatoa nadhani utakuwa ukizunguzia Drama ya mwaka 2007-2008 inayokwenda kwa jina la The King and I. Kama ndiyo hiyo unayozungumzia ambayo ndiyo hii hapa pichani, basi 'Link' ya kuipata ipo hapo chini:
View attachment 1182889
[LINK] Korean Drama: The King and I
Mweh ni nani hawa?Divorce nyingine inanukia kwa korean celebrities. View attachment 1184434
Huyo dada ni yule main cast wa kwenye boys over flowers na huyo kaka yupo zaid kwenye supporting casts kama a man from another star. Waliigiza pamoja drama ya blood ndio kupendana mpaka kufunga ndoa.Mweh ni nani hawa?
Ooh My...nimeshindwa kuwajua hapa wanaonekana kama watotoHuyo dada ni yule main cast wa kwenye boys over flowers na huyo kaka yupo zaid kwenye supporting casts kama a man from another star. Waliigiza pamoja drama ya blood ndio kupendana mpaka kufunga ndoa.
Huyo dada ni yule main cast wa kwenye boys over flowers na huyo kaka yupo zaid kwenye supporting casts kama a man from another star. Waliigiza pamoja drama ya blood ndio kupendana mpaka kufunga ndoa.
Bado wapo Kim Taehee & Rain, Jisung & boyoung. Shida ya kupendana on setNo jaman hawa ndo mastaa pekee waliobakia na ndoa imara duh kumbe nao wanaelekea shimoni daah