Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ooh sawa nilifikiri labda kuna connection
mwanzoni hata mimi nilikuwa sielewi, utamsikia eunuch anasema mfalme anataka kukutana na crown prince muda wa nguruwe.
labda inawezekana ndio code zao walizokuwa wanatumia.
au ndio ilikuwa mfumo wao wa masaa waliokuwa wakitumia.
 
Shikamoo MBC,kumbe nimetazama drama zenu nyingi bila kujua.

Moja kati ya Drama ambayo huwa sichoki kuirudiarudia ni hii hapa( Kim Suro)
Inamuelezea Kim Suro ambaye ni mwanzilishi wa Taifa la Gaya.
Pia huyu ndiye Mwanzilishi wa ukoo wa "KIM"View attachment 1080141
View attachment 1080222

Vita ya Baba na Mwana, General Lee Seong gye Vs Grand General Choi Young.
Hii Drama ya Sambong japo vita hazijachorwa sana lakini zipo Quality, nadhani hili linachagizwa na Characters wa humo ndani wamecheza Historical drama nyingi za Kivita.
Nitazitafuta hizi..
 
Babe nakusabahi, nipe taarifa za hii maneno niitafute ama laa?

Hello babe
Hiyo kitu ni must watch Unnie, mimi tokea nimeimaliza mpaka sasa nimeharibikiwa drama nyingine siziwezi.
Nimejaribu Misty nimeishia episode 1, Mr. Sunshine ambayo watu wengi waliikubali sana naingalia nipo episode 3 ila nashindwaaaa

Anza kuiangalia sasa hivi love, nasubiri feedback.
 
Daah! Hii tabia ya kutazama Historical drama kwa lengo la kujifunza Ujumbe unaowasilishwa, basi nimejikuta naathirika katika suala la Psychology hasa (Behaviorism), RightNow naweza kukueleza tabia zako kwa 50% kwa kukutazama ndani 5, uwe umeongea au laa!.
Tayari huku mtaani kuna watu wanadhani miye fortune-teller, kwa hali hii soon nitakuwa a seer.

Bado naendelea na Sambong project.
Next week nitaanza drama ya theFiery Priest iliyopigwa promo nyingi mno na Sisy Nifah i think itakuwa Drama ya kwanza ya mjini tangu nilipoitazama the Fashion King.
 
hahahaahhahahaahaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa great conqueror nina wasiwasi umeshaanza kuugua ugonjwa wa korean histroical drama.
tafadhali brother mtafute yesu wa India akupe tiba na mapemaaaa kabla hujachelewa.
Nimesikia yesu wa India amejaaliwa uwezo wa kutibu hata ugonjwa wa serikali kukosa mapato bila ya kutumia mitishamba.
usione aibu brother kumueleza matatizo yako, binafsi nina mpango wa kukutana naye anisaidie kutibu ugonjwa wangu wa kukaa kimya ovyo kama charlie chaplin.
AURAAAAA
Hahahahahah, Hii ni hatari sana mzee au hii ndo ile asemayo Sambong " the nonsense from a Good for nothing" Kama Serikali inataka kuongeza mapato dawa yake ni moja tu! Iwashike mkono watu ili wainuke, haika hiyo itakuwa njia ya kujitanua ( mizizi ndiyo itengenezayo matunda),. Huko india ndo Nitateketea zaidi si kwa sababu hali ya hewa ya New Delhi ni ya ukaa laa! Bali hilo balaa hapo👇.
FB_IMG_1556297370830.jpg
 
Back
Top Bottom