Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 817
- 1,772
ππ Salute kwako Sisy, haya ni mahaba kwa Bidam rang.Bidam ni handsome kwelikweli.
Kama hujui baada ya hiyo series kuisha wanawake wa Korea walimchamgua kama sexiest man wa Korea.
Salute kwako Sisy, haya ni mahaba kwa Bidam rang.
Miye Nilimchukia baada ya kujiunga na kambi ys wasaliti ( Kina Mishil) but kifo chake na cha Queen Vilinimwaga machozi.
The Fiery Priest naona ipo kwenye On going nasubiri mzigo mzima ndiyo nianze so kwa muda huu nipo na Sambong(the 1st Joseon PM) na Sejong the Great(the 4th Joseon King).Hahaaaaa namkubali tu jamaa bhana na hapo nimeongea ukweli.
Nam Gil ni bonge la actor, ukitaka kuamini angalia The Fiery Priest,katisha sana.
The Fiery Priest naona ipo kwenye On going nasubiri mzigo mzima ndiyo nianze so kwa muda huu nipo na Sambong(the 1st Joseon PM) na Sejong the Great(the 4th Joseon King).
Hizo promo unazoipa The Fiery naomba ziwe sambamba na moto wa humo ndani jama,
View attachment 1077426View attachment 1077427
Park Chul Min(Hwang Yeong Bo)
Nilimpenda zaidi kwenye the Return of Il jamae huyu mwamba Full vituto, kwenye Warriors Baek Dong Su alikuwa na Roho ngumu kufa .
Kwenye The Emperor ( Ruler of the Mask)
Alikuwa serious but bado alikuwa kituko.
Kwenye Athena(Iris) sikumbuki uhusika wake niliitazama 2011.
Miye namkubali kuliko wale wehu (sija kashifu ila nimewasilisha sifa kwa shitzai) kina Jukbang.
KiHuyu jamaa uhusika wake huwa siukubali sana. Hasa kwenye warrior Baek Dong Su (halafu sikuimalizaga hii)
Nilifurahi pale alipokatwa kidole na na Mzee Geumwa ambaye huko kaigiza kama mwamba wa swordsmanship Korea, nilicheka sana.
Nikimaliza ratiba zangu kuna drama nitazirudia kama hiyo Baek Dong Su, niliipenda sana ligi ya yule mlevi na mzee Geumwa, panga la huko sio mchezo.
Walikuwa wakionana Mzee anampa mlevi pombe au anamuacha alewe ndipo pambano lianze
KiView attachment 1077440
Umewahi kuitazama hiyo The Return of Il jamae?!
Ule wakati Yushin anajiunga na Mishil kumbe Deokman alikuwa na hisia nae kwanini sasa hakumwambia. Anaishia kujisemeza tu "na mimi", "vipi kuhusu hisia zangu kwako"Ndivyo alivyo bhana, Bidam lips zake ni za pink. Kwani hujawahi kuona watu wa namna hiyo?
Bidam ni handsome kwelikweli.
Kama hujui baada ya hiyo series kuisha wanawake wa Korea walimchamgua kama sexiest man wa Korea.
Kwenye Queen SeondokUnaongelea upigaji kura kwenye nini dear?
Hii Fiery Priest mbona kila siku unaisifia? Ina kipi kigeni?Hahaaaaa namkubali tu jamaa bhana na hapo nimeongea ukweli.
Nam Gil ni bonge la actor, ukitaka kuamini angalia The Fiery Priest,katisha sana.
Kwenye Queen Seondok
Mimi nataka nikutane na vichekesho vya kumwaga na mkono usio simama.The Fiery Priest naona ipo kwenye On going nasubiri mzigo mzima ndiyo nianze so kwa muda huu nipo na Sambong(the 1st Joseon PM) na Sejong the Great(the 4th Joseon King).
Hizo promo unazoipa The Fiery naomba ziwe sambamba na moto wa humo ndani jama,
Kwanini sishangai kukukuta kwenye uzi huu bibie?Kuna baadhi ya mambo nimesahau mpenzi wangu, nimeiangalia kitambo sana 2013 huko.
BTW, heri ya Pasaka.
Ule wakati Yushin anajiunga na Mishil kumbe Deokman alikuwa na hisia nae kwanini sasa hakumwambia. Anaishia kujisemeza tu "na mimi", "vipi kuhusu hisia zangu kwako"
Hahahaa Jukbang ni moto ata kuliko huyo mzee wako. Jukbang moto usipime kwa ukimuona tu unajiandaa kucheka, nakumbuka ile siku anamwelekeza Lord Chunchu Hahahaaa nilicheka balaa jamaa fundi sana sasa ukimkuta na chizi mwenzake Godo ndio utacheka mpaka machozi yakutoke. Naona saizi yuko kwenye harakati za kumtokea binti mrembo SohwaView attachment 1077426View attachment 1077427
Park Chul Min(Hwang Yeong Bo)
Nilimpenda zaidi kwenye the Return of Il jamae huyu mwamba Full vituto, kwenye Warriors Baek Dong Su alikuwa na Roho ngumu kufa .
Kwenye The Emperor ( Ruler of the Mask)
Alikuwa serious but bado alikuwa kituko.
Kwenye Athena(Iris) sikumbuki uhusika wake niliitazama 2011.
Miye namkubali kuliko wale wehu (sija kashifu ila nimewasilisha sifa kwa shitzai) kina Jukbang.
Deokman na Yushin walikuwa wanapendana ila ndio hivyo Wakorea sijui wakoje? Kila mmoja akawa anakufa na maumivu yake.
Hata Yushin alipooa Deokman aliumia sana, hata mimi niliumia tena nikawa natamani harusi isifanyike kweli!
Baadae alipokuja Bidam nikatamani ndio waowane nako ikawa vile, dah hiyo series ni maumivu matupu!
Daah! Miye naipenda mno!! Nimeirudia zaidi ya mara 4, kwa bahati mbaya licha kuitazama mara nyingi hivyo! Sijawahi kufanikiwa kuitazama episode ya mwisho, na hili limekuwa likichagizwa na sababu mbalimbali .Nimeiona mwanzoni mwa mwaka 2016 ila siikumbuki vizuri, nadhani ni vile sikuipenda sana.
Yushin alikuwa anajua kuwa anampenda, kifupi walikuwa ni wapenzi ila walishindwa tu kuwa pamoja kutokana na circumstancesUle wakati Yushin anajiunga na Mishil kumbe Deokman alikuwa na hisia nae kwanini sasa hakumwambia. Anaishia kujisemeza tu "na mimi", "vipi kuhusu hisia zangu kwako"
Mishil hapo ndio alijichanganya sana, lakini naweza sema tayari kina Yushin walikuwa na mkakati wao.Hawakuwa na namna, ilikuwa ni lazima Yushin akipate kile cheo ili awe na nguvu ya kisiasa na njia pekee ilikuwa ni kujisalimisha kwa Mishil. Ila ninachojiuliza ukoo wa Mishil ulifaidika vipi baada ya hapo maana sioni kama walinufaika na chochote baada ya Yushin kuoa mtoto wao