Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kifupi ni Series tamu kweli kweli ni full siasa, na kuna vitu vingi najifunza toka humo.
Character pia ni wazuri, mzee wako General Fengba, Yeosok-ae n.k utawakuta humo.

General Fengba alinikeraaaa, yani nilikuwa natamani afe lakini hafi!
Yeon Seokgae is my guy, siwezi kusubiri kuanza kuiangalia hiyo Sambong.

Hivi hakuna aliyewahi kuangalia The Great Seer humu jamani? Ni kali sana nashangaa haijamake ‘headlines’ hapa!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakuna Series aliyowahi kicheza mwema, pia hajawahi kizembe.

The Great Seer sijawahi kuiona.
 
Jodong Jeong( Sambong) nipo ep 10, even SIX FLYING DRAGON haiufikii huo moto wa Sambong hata kwa chembe, kifupi hawa jamaa walimaliza kila kitu hivyo sidhani kama Great Seer inaufikia.
 
Jodong Jeong( Sambong) nipo ep 10, even SIX FLYING DRAGON haiufikii huo moto wa Sambong hata kwa chembe, kifupi hawa jamaa walimaliza kila kitu hivyo sidhani kama Great Seer inaufikia.

Hahaaaaa usimalize maneno kwa drama ambayo bado hujaiangalia Mkuu.
Mimi sijaiona hiyo Sambong hivyo siwezi kusema sio nzuri zaidi ya hii The Great Seer, naimaliza leoleo na kwa maana hii itabidi niianze hiyo Sambong pia.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jamaa amefaa sana kwenye Empress Ki na pia yupo kwenye......(nimesahau)
Binafsi Song Il-Gook namwelewa sana

Sent from The Black Forest

Sent from The Black Forest
 
Kasi yako inanitisha maana miye nakwenda nayo taratibu, mwishowe utaanza kunisimulia matukio angali miye ndo nimeianza.
Nachelewa kwenda nayo kasi, sababu kuna the Great King Sejong naicheki, nayo ni tamu kweli kweli.
 
Nimeshamaliza The Great Seer, ilikuwa kali naipa 9/10.
Sasa kwakuwa umelalialia ngoja nianze na Bidam kwenye The Fiery Priest, lol
Nikiimaliza hiyo ndio nitaanza kuangalia Sambong.

Hata hivyo nimeangalia drama za historical siasa sana hadi nimechoka, uzuri hii ninayotaka kuangalia genres zake ni crime na comedy.
Nimemiss kuangalia drama zenye intelligence kali, na hapo tena mzee baba Jukbang yupo humo ni raha tele.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
"The Fiery Priest" ni historical drama or ni ya mjini!?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…