Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hapa ndipo utatambua kwa kiasi gani kizazi hiki kimewekeza akili zao kwenye mambo ya kufikirika (filamu, miziki, tamthilia) na mambo mengi ya kigeni ambayo katika hali ya uhalisia hayana ukweli wowote.

tamthilia za kigeni ni janga la taifa

kwani tunajenga kizazi ambacho kutwa kucha (watoto, akina dada, wanawake, vijana ) wako bize kuyafatilia hata kuliko kufatilia mambo yenye tija kwao kwa maslahi mapana kwa taifa

Kwa haya tunayoyafanya leo hii tujipange na tujiandae kuvuna mapokeo ya kigeni kwenye mustakabali wa maisha yetu milele.
jibu langu kwa ufupi baada ya muda mrefu kukaa kimya kana kwamba sijaiona comment yako tokea tarehe 22 December.
mkuu hakuna anayependelea kufuatilia sanaa za nchi nyengine bali nchi zetu ndio zinatulazimisha kufuatilia sanaa za nje tena kwa bakora kama ng'ombe.
Serikali nyingi za kiafrika zinatamani mafanikio lakini hazipendi kufuata njia zitakazowawezesha kupata mafanikio, hao wote waliofanikiwa msingi mkuu wa mafanikio ulianzishwa na serikali ndipo wakafuata wananchi na matajiri pamoja na wasanii lakini leo hii nchi zetu serikali haziithamini sanaa ndio maana hatusogei mbele.

Miaka mingi iliopita sote ni mashahidi nakumbuka binafsi nilikuwa naangalia movies za wahindi, amerika na wachina peke yao, ina maana sikuwa na habari na wakorea sasa jiulize wakorea wamefikaje kuwa ni nchi inayotambulikana kwenye sanaaa mpaka na mimi ninayeishi dunia ya mwisho nikawafahamu?
unafikiri ni samsung na makampuni mengineo ndiyo yameifanya sekta ya sanaa isonge mbele nchini kwao bila ya nguvu ya serikali?

Serikali za kiafrika ziache kujificha kwenye kivuli cha mchicha huku wakitegemea miale ya jua haitagonga ngozi zao na kuziathiri.
chengine kuiga mambo mazuri ya kigeni si vibaya ila ubaya inakuwa pale unapoiga mambo yanayokwenda kinyume na utamaduni wetu ambayo yataleta athari kama unavyozungumza muheshimiwa, Hivyo basi unapaswa ufahamu si kila jambo la kigeni ni haramu ndio maana hata viongozi wetu wanatumia magari kwa ajili ya safari zao na si punda kama ulivyo utamaduni wetu.

halafu mkuu umesahau kama watanzania pia ni waumini wa ubepari, sina uelewa mkubwa sana ila naamini unapofuata misingi ya ubepari pia unapaswa ufuate misingi ya demokrasia, kwa kutumia GPA yangu ya 50 demokrasia haipo kwenye siasa tu bali hata kwenye maswala mengine ya kila siku ikiwemo JF, hivyo basi naomba utuvumilie kama wewe tunavyokuvumilia pindi unapofuatilia stori za kuvunja korosho kwa kutumia jeshi la wananchi.

Economic impact analysis : examines the effect of an event on the economy in a specified area, ranging from a single neighborhood to the entire globe. It usually measures changes in business revenue, business profits, personal wages, and/or jobs.

injinia soma hizi link ukipata muda upate kufahamu wenzetu walitokea wapi na wanaelekea wapi kupitia sanaa

"Bae Yong Joon, through the drama Winter Sonata drama 2002, created an economic value of about 3 trillion won.
  1. BTS’s 10-Year Economic Impact To Korea Expected To Reach Over 56 Trillion Won
  2. Korean Wave (Hallyu) - Rise of Korea's Cultural Economy & Pop Culture
  3. Drama Series Gives Boost to Korean Economy
nchi ambayo viongozi wake wanapitisha sheria halafu siku chache zijazo wanaifuta ina faida gani kufuatilia habari zake kila siku?
kuliko kujipa stress acha tuwafuatilie wachina tambi na drama zao ambao wameiona sanaa kama njia moja wapo ya kujikwamua na umasikini.

kumbuka ya kwamba sanaa ni rahisi sana kuliko siasa ndio maana leo hii BTS wanapata kiki mpaka nchini marekani na wanachoimba hata wamarekani hawakifahamu.
Ndio maana leo hii diamond platnumz ni maarufu kuliko great thinker zitto kabwe duniani.

bado hamujanishawishi kurudi nyumbani kwa sanaa hii inayoelea kama maiti.
 
anakusalimia mungu wa ballad songs nchini korea kama unamfahamu.
mpiga piano na yeye kwa sifa kama scientific kikokotoooooo.

park hyo shin = home

Hahahahahahahahahahahahhahaha!

Kama Kawaida Yako.

Ninafungua Mwaka Kwa Tabasamuu.

Ndomna Saraghaeyo My Lovely Chinguya...

Hahahaha! Uaga Unawaza Nini! lilikuwa Linakufurukuta Ila Ulimtafutia Muda.
 
MBC, KBS, SBS
kwa mtazamo wangu kadri siku zinavyokwenda mbele mashirika haya wanapoteza ushawishi kwenye sekta ya sanaa, huku cable tv zikiendelea kukua kwa kasi ya roketi na kuwachukua waigizaji na waandishi mashuhuri.
mfano mdogo angalia list ya hizo drama zinazowania daesang award zinazidiwa kwa kiasi kikubwa sana na project nyenginezo zilizoonyeshwa na cable tv kama vile TvN, Jtbc na OCN.

binafsi kiupande wangu nimeangalia project mbili tu za MBC ambazo ni:
  1. terius behind me
  2. less than evil: ambayo bado inaendelea kukimbiza, licha ya kuwa zimechaguliwa kuwania tunzo za daesang lakini zote kwa pamoja hakuna inayoifikia my ahjussi kwa ubora hapo sijaitaja MR SUNSHINE, 100 days my prince, the beauty inside, sky castle n.k
licha ya SBS drama bado wanaendelea kutengeneza project nzuri lakini bado nimeangalia drama zao chache, fikiria SBS walishindwa kuichukua project ya MR SUNSHINE kwa sababu ya budget japokuwa hawajaweka wazi lakini TvN wameichukua na mpaka leo wanafaidika na project ile kimafanikio na hizi ndio nilizobahatika kuziangalia
  1. fates and furies : bado inaendelea
  2. the last empress : bado inaendelea
  3. hymn of death
  4. wok of love
  5. where stars land.
KBS ndio kabisaa wamenitoa hamu ya kufuatilia project zao siku hizi na wao pia project zao nyingi zilinishinda njiani na nilizoziangalia hadi mwisho ni pamoja na :
  1. are you human?
  2. the miracle we met
  3. suits
tukija kwenye cable tv ndio wameniroga mwili mzima mwaka huu na aliyeniroga ameshafariki, mwaka huu nimeangalia drama zifuatazo kupitia TvN cable tv.
  1. 100 days my prince
  2. my ahjussi (my mister)
  3. lawless lawyer
  4. hwayugi
  5. a poem a day
  6. about time
  7. encounter
  8. mr sunshine
  9. memories of alhambra
  10. whats wrong with secreatry kim
  11. familiar wife
  12. top star yoo baek
  13. room no 9
  14. mother
  15. The Smile Has Left Your Eyes
Jtbc cable drama nimeangalia zifuatazo
  1. waikiki
  2. sky castle
  3. the beauty inside
  4. clean with passion for now
  5. life
  6. sketch
  7. something in the rain (pretty noona who buys me food)
OCN drama nimeangalia zifuatazo
  1. Life on mars
  2. the player
  3. voice season 2
bila ya kusahau chosun tv
  1. grand prince
inamaana 70% ya waigizaji maarufu nchini korea wamefanya kazi na cable tv kuliko mashirika ya wananchi.

tuachane na mwaka 2018 unajua mwaka 2019 drama TvN wameshaanza tena moto wao?
  1. abyss drama: park bo young mpaka sasa ndiye aliyethibitisha kushiriki
  2. chronicle of asadal: song joong ki, jang dong gun
  3. The Crowned Clown :yeon jin goo
  4. Touch Your Heart : lee dong wook na yoo in na
  5. Romance is a Bonus Book : lee jong suk pamoja na lee na young
JTBC drama 2019 mpaka muda huu project zilizothibitishwa
  1. legal high = jin goo ambaye wiki chache alikataa ofa ya mbc.
  2. waikiki season 2 = kuna uwezekano lee yi kyung akarudi tena
  3. My Country = yang se jong pamoja na woo do hwan.
  4. the light in your eyes = ha ji min, nam joo hyuk.
hivi bado humu ndani mumegoma kuiangalia sky castle?
View attachment 975542
Mkuu umetisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jibu langu kwa ufupi baada ya muda mrefu kukaa kimya kana kwamba sijaiona comment yako tokea tarehe 22 December.
mkuu hakuna anayependelea kufuatilia sanaa za nchi nyengine bali nchi zetu ndio zinatulazimisha kufuatilia sanaa za nje tena kwa bakora kama ng'ombe.
Serikali nyingi za kiafrika zinatamani mafanikio lakini hazipendi kufuata njia zitakazowawezesha kupata mafanikio, hao wote waliofanikiwa msingi mkuu wa mafanikio ulianzishwa na serikali ndipo wakafuata wananchi na matajiri pamoja na wasanii lakini leo hii nchi zetu serikali haziithamini sanaa ndio maana hatusogei mbele.

Miaka mingi iliopita sote ni mashahidi nakumbuka binafsi nilikuwa naangalia movies za wahindi, amerika na wachina peke yao, ina maana sikuwa na habari na wakorea sasa jiulize wakorea wamefikaje kuwa ni nchi inayotambulikana kwenye sanaaa mpaka na mimi ninayeishi dunia ya mwisho nikawafahamu?
unafikiri ni samsung na makampuni mengineo ndiyo yameifanya sekta ya sanaa isonge mbele nchini kwao bila ya nguvu ya serikali?

Serikali za kiafrika ziache kujificha kwenye kivuli cha mchicha huku wakitegemea miale ya jua haitagonga ngozi zao na kuziathiri.
chengine kuiga mambo mazuri ya kigeni si vibaya ila ubaya inakuwa pale unapoiga mambo yanayokwenda kinyume na utamaduni wetu ambayo yataleta athari kama unavyozungumza muheshimiwa, Hivyo basi unapaswa ufahamu si kila jambo la kigeni ni haramu ndio maana hata viongozi wetu wanatumia magari kwa ajili ya safari zao na si punda kama ulivyo utamaduni wetu.

halafu mkuu umesahau kama watanzania pia ni waumini wa ubepari, sina uelewa mkubwa sana ila naamini unapofuata misingi ya ubepari pia unapaswa ufuate misingi ya demokrasia, kwa kutumia GPA yangu ya 50 demokrasia haipo kwenye siasa tu bali hata kwenye maswala mengine ya kila siku ikiwemo JF, hivyo basi naomba utuvumilie kama wewe tunavyokuvumilia pindi unapofuatilia stori za kuvunja korosho kwa kutumia jeshi la wananchi.

Economic impact analysis : examines the effect of an event on the economy in a specified area, ranging from a single neighborhood to the entire globe. It usually measures changes in business revenue, business profits, personal wages, and/or jobs.

injinia soma hizi link ukipata muda upate kufahamu wenzetu walitokea wapi na wanaelekea wapi kupitia sanaa

"Bae Yong Joon, through the drama Winter Sonata drama 2002, created an economic value of about 3 trillion won.
  1. BTS’s 10-Year Economic Impact To Korea Expected To Reach Over 56 Trillion Won
  2. Korean Wave (Hallyu) - Rise of Korea's Cultural Economy & Pop Culture
  3. Drama Series Gives Boost to Korean Economy
nchi ambayo viongozi wake wanapitisha sheria halafu siku chache zijazo wanaifuta ina faida gani kufuatilia habari zake kila siku?
kuliko kujipa stress acha tuwafuatilie wachina tambi na drama zao ambao wameiona sanaa kama njia moja wapo ya kujikwamua na umasikini.

kumbuka ya kwamba sanaa ni rahisi sana kuliko siasa ndio maana leo hii BTS wanapata kiki mpaka nchini marekani na wanachoimba hata wamarekani hawakifahamu.
Ndio maana leo hii diamond platnumz ni maarufu kuliko great thinker zitto kabwe duniani.

anakusalimia mungu wa ballad songs nchini korea kama unamfahamu.
mpiga piano na yeye kwa sifa kama scientific kikokotoooooo.

bado hamujanishawishi kurudi nyumbani kwa sanaa hii inayoelea kama maiti.

park hyo shin = home

Sidhani kama atakuelewa ata chembe ya ulicho kiandika.!

MGC
 
Bongo Movie hata waki-shoot films/series zao mbinguni siangalii ng'o!
 
Back
Top Bottom