Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

KHERI ya KUTIMIZA miaka 3 NDANI ya JF (siku ya jana)

Teh teh teh nilitaka nijaribu kuandika kwa kiingilishi lakini nimeshindwa, naogopa wazee wa ngeli wasije kunizodoa asubuhi yote hii wakanifanya nikose hamu ya kukandamiza bakuli langu la UROJO kama meok goo anapokosa bakuli la wali na supu ya mende kwa ufadhili wa hela ya European Union.
ningelikuwa ni mtenda dhambi kama ningelishindwa kuandika ujumbe huu wa shukurani kupitia thread hii ambayo nusu ya comment zangu nimeziandika humu ndani (comment 1298)

huwezi amini nakumbuka ni kama juzi tu najaza fomu ya kujiunga na JF mida ya jioni, baadae naandika ujumbe wangu wa kwanza ndani ya thread hii baada ya kuwa msomaji wa muda mrefu, nakutana na wakorea uchwara kupitia keyboard, naanzisha utani wa ajabu haliyakuwa si tabia yangu, mara paaap nakufa kwa kucheka peke yangu.

kilaza kama mimi ninayeshindwa hata kuandika sentensi nzuri zenye kubeba haiba ya matukio husika ya sherehe muhimu basi niwatakie wakorea uchwara wote pasina kuangalia asili zetu za kiimani sikukuu ya kuzaliwa mtakatifu yule wa nazareth majuma machache yajayo.

kama kuna yeyote humu ndani niliwahi kumkera na akachukia kama wanavyochukiana mashabiki wa vyura na mikia naomba anisamehe.
jamani hapa mtaani kwetu ndani ya wiki mbili hizi wameshafariki watu 5, mamamaaaaaaaaaaa nadhani huyu malaika mtoa roho ananipigia misere kwa honda ya bajajiiiiiii na toyo.

ili niwe muhenga wa kati kati ndani ya JF napaswa nitimize miaka mingapi?

nasubiria keki zangu zilizotengenezwa kwa siagi na mayai ya maneno japokuwa wale niliowakuta wamekuwa wavivu wa kutembelea humu ndani kwa sababu zisizoepukika ila kwa mamlaka niliopewa ngoja nijaribu kuwakumbuka.
kila nitakayemtaja aitikie jana na leo kama mwalimu wa kiswahili.
hahahahahahahaaa halafu walimu wengi wa darasa walikuwa wanasomesha kiswahili, on my behalf of my self (kwa sauti ya mzee wa nyoka)
  1. Nifah = huyu ahjumma mtarajiwa baada ya miaka 27 alikuwa na nguvu kubwa sana ndani ya familia hii, naogopa kusema vyuma vimelegea kiupande wake, sijui amekutwa na time travel kama do min jooon wa my love from another star.
  2. Prishaz = huyu ahjumma mtarajiwa baada ya miaka 30 amekutwa na shambulio la Membe, dawa yake ni kukutana na kang ji hwan.
  3. Khantwe = nilikuwa namuogopa huyu ahjumma mtarajiwa kama simba, kumbe ni mdhaifu kwa watu wa JF kuliko mnyama swala (gazelle), ndio mwanadamu anayeshikilia rekodi ya kuwa na wanaume wa seoul wengi kwa njia ya ndotoni.
  4. mkorea, @Aipolo = hawa wote tabia zao zinafanana, wanapenda historical drama kuliko wakorea wanavyoipenda historia yao
  5. Katavi = huyu ahjusii ni bingwa wa kuchukua drama, hachagui project ya kuangalia.
daebak, niilikuta hii thread ikiwa ukurasa wa 24 lakini leo imeshafikisha ukurasa wa 402, nawaomba munipe dawa itakayoniwezesha niache kuifuatilia hii thread tafadhali.

Age is an issue of mind over matter. If you don't mind, it doesn't matter. - Mark Twain.
View attachment 969576
Hongera kwa Mwaka mwengine Tena Babuu.
 
Actor Jang Hyuk is turning into a real detective.
daebak jang hyuk hana muda wa likizo, sasa wewe mwenzangu na mimi pangu pakavu ukipata faida ya laki tano unagonga likizo ya mwezi mzima.
kwa mujibu wa Sidus HQ , jang hyuk amethibitisha kushiriki kwenye variety show itakayoitwa City Police itakayoonyeshwa na shirika la MBC.
itakuwa ni reality variety program ambayo itajaribu kuonyesha maisha halisi ya polisi na changamoto ngumu wanazokutana nazo pindi wanapohangaika kutatua matukio ya kihalifu.
mwaka huu ameshiriki variety program tatu kwa nyakati tpfauti na hii itakuwa ni variety program ya nne kwa jang hyuk kushiriki ndani ya mwaka miwili.
MBC's "City Police" is scheduled to air sometime in January 2019.​
update kwa kiingilishi
  1. The National Police Agency appointed actors Jang Hyuk and Seo Ye-ji as honorary police officers
  2. Actor Jang Hyuk won the Best Male Actor Award at the award ceremony of '2018 Grimae Awards'' held at the KBS festival in Yeouido, Yeongdeungpo-gu, Seoul on 7 December 2018.
  3. Actor Jo Jae-yoon joins Jang Hyuk as a second member of 'City Police'. View attachment 969641
hii picha imepigwa jana akielekea nchini japan kwa ajili ya fan meetings
December 20 atatimiza miaka 42 ya magharibi na miaka 44 ya korea
Leo Badae Nakutakia Ushindi.
 
Kuna Sehemu Nilisoma Maoni ya Mashabiki Kuwa Bo Gum Yuko Awkward.

Labda Sababu ya Heshima Alonayo kwa Joong Ki.

Ila Muda mwengine Namuonaje Sijuh

Ila Kyo Ni Boonge La Mwanmke Katika Kazi Kwengine sijuh.
 
Hahahaha, Bollywood Tena.!

Sijaangalia Movie Za Uko Na Miaka

Ila Vogabond Tunamuachia Nani
naona kitambo wameamua kwenda morocco kwa ajili ya location,
kumbe morocoo baadhi ya mitaa yake kama kikwajuni Zanzibar?
natania jamani
[Upcoming Drama 2019] Vagabond 배가본드 - Wed & Thu @ 22:00 KST - Lee Seung Gi and Bae Suzy - Premieres 2019
1544958734196.png

1544958858966.png

1544958772362.png
 

Attachments

  • 1544958613228.png
    1544958613228.png
    265.6 KB · Views: 32
Kuna Sehemu Nilisoma Maoni ya Mashabiki Kuwa Bo Gum Yuko Awkward.

Labda Sababu ya Heshima Alonayo kwa Joong Ki.

Ila Muda mwengine Namuonaje Sijuh

Ila Kyo Ni Boonge La Mwanmke Katika Kazi Kwengine sijuh.
kutabasamu kwake imepitiliza,
final episode ya 5 hakupaswa atabasamu zaidi ya sekunde 40 na hilo ndio tatizo nililoliona.
inaonekana ndio style yake na hata ukiangalia moonlight drawn by the clouds ndio hivyo hivyo.
kiupande wa pili stori imeanza kuchanganya.
 
naona kitambo wameamua kwenda morocco kwa ajili ya location,
kumbe morocoo baadhi ya mitaa yake kama kikwajuni Zanzibar?
natania jamani
[Upcoming Drama 2019] Vagabond 배가본드 - Wed & Thu @ 22:00 KST - Lee Seung Gi and Bae Suzy - Premieres 2019
View attachment 969675
View attachment 969680
View attachment 969677
Now Sina PC Nakosa Picha Izi Dah!!

Ndomna Naonaga Sa Engine Jau Kukomnt Na Simu Umu Ndomna Nakuwa Mpenzi Msomaji.

Ila Bby Nimemtuma Dah!

Sa Ivi Nimeamia Kwa Hyun Bin Ma New Boo.
 
kutabasamu kwake imepitiliza,
final episode ya 5 hakupaswa atabasamu zaidi ya sekunde 40 na hilo ndio tatizo nililoliona.
inaonekana ndio style yake na hata ukiangalia moonlight drawn by the clouds ndio hivyo hivyo.
kiupande wa pili stori imeanza kuchanganya.
Ahsante! Muda Mwengine Ahjussi Unaakili! Hahahaha!

Bo Guum anazingua Sana Na Kucheka Cheka Kwake! Labda Ni Utofauti Ma Director Wanaoutafuta Lakini Inabidi Aupe Kiasi.

Nilionaga Hata Mule Kwa Moonlight Ndomna Aikuwa Kipaumbele Kwenye Drama Zakipindi Kile Nilizokuwa Naangalia.

Hata Sa Ivi Inanibidi Niimalize kwanza Last Empress ndo Niangalie Hii!
 
Anha! Nilisahau Jasusi.
Hahahaha!

Nami Ntafika uko ila Uoga wa Bahari!

Napenda Maji Ila Sipendi Safiri kwenye Maji!
hahahahaaaa mwenzio baada ya muda mrefu ndio nimeanza mazoezi ya kuogelea, nipo mafichoni najifua kama mikia FC.
nina mwaka wa 10 sijasafiri kwa njia ya bahari.
 
Back
Top Bottom