ndiyo maana family drama zinanishinda njiani kwa sababu ni ndefu na hadithi zake zinaanza taratibu kama tamthilia za ITV.
father is strange ulishawahi kuiangalia?
Hahahahahahhahah,aminas unaanzishaje vita ambayo huna uhakika wa kushinda?
matokeo yake unakimbilia kituo cha polisi kwa siri.
mhhhhhhhhhhhhh!
kwa nini nifute wakati we mwenyewe umetaka watoto wayajue aya.mama yangu, naomba comment yako uifute kabla ya watoto hawajaamka.
hii ndio nafsi yangu ya pili hapa JF.
ID ya damushin ndio imechukua likizo ila mwenye ID hana likizo.
waswahili mumezoea kuwekewa kila kitu wazi
kwanza kwa nini umekuja ivyi? shida ni nini??mama yangu, naomba comment yako uifute kabla ya watoto hawajaamka.
hii ndio nafsi yangu ya pili hapa JF.
ID ya damushin ndio imechukua likizo ila mwenye ID hana likizo.
waswahili mumezoea kuwekewa kila kitu wazi
siri yangu chinguya mambo mengine hata mwenza wako hapaswi kuyajua, ikiwemo mshahara wako kwa mujibu wa maoni ya wanaume wa JF.kwanza kwa nini umekuja ivyi? shida ni nini??
Usinifanyie Ivyo Sasa Naanza Kukuchanganya Na Naniii!siri yangu chinguya mambo mengine hata mwenza wako hapaswi kuyajua, ikiwemo mshahara wako kwa mujibu wa maoni ya wanaume wa JF.
unaweza kushusha episode 10 kwa siku moja?Sijaiona huwa naipita tu ila hizi nimezipenda zipo poa. Na vile huwa siangaliu ongoing nasubiria mpaka ziishe ndo naanza vuta kwa mkupuo
Hivi kwann wasanii wengi wa korea huenda jeshini? Ni sheria yao au ni sababu gani?Lee Jong Suk’s Agency Responds To Reports Of Plans For New Drama And Enlistment
kuna stori zinadai ya kwamba jamaa amepata offer ya kuigiza kwenye remake drama ya kimarekani inayojulikana kwa jina la YOUNGER na pia anategemewa kujiunga na jeshi mnamo mwezi february 2019.
lakini management yake wanaomsimamia wamesema ya kwamba bado haijajulikana ni lini atakwenda kutumika jeshi na pia wamedai ya kwamaba lee jong suk amepata offer nyengine ya kushiriki drama inayoitwa “Romance Supplement” lakini bado hajachagua offer nzuri ya kushiriki.
“Romance Supplement” ni drama itakayozungumzia mahusiano ya kimapenzi kati ya watu wawili wenye wastani wa umri wa miaka 30.
tujiandae kisaikolojia kufuatilia drama bila ya lee jong suk kwa miaka 2.
nathubutu kusema huyu jamaaa ndiye king of romantic comedy drama au nakosea?
hivi kuna project yoyote aliyoichagua ikawa mbaya?
while you were sleeping drama
doctor stranger
w two world
pinoccio
i hear your voice
millitary services loading...........................
unaweza kushusha episode 10 kwa siku moja?
going on drama zimeshaanza kuniletea athari kiasi ambacho najihisi kutokuvutiwa na drama za kizamani labda iwe nzuri mnoo.
Mic Ya.unaweza kushusha episode 10 kwa siku moja?
going on drama zimeshaanza kuniletea athari kiasi ambacho najihisi kutokuvutiwa na drama za kizamani labda iwe nzuri mnoo.
The constitution states in Article 39, "All citizens shall have the duty of national defense under the conditions as prescribed by Act."Hivi kwann wasanii wengi wa korea huenda jeshini? Ni sheria yao au ni sababu gani?
Zakwako?
Upo?
Yule Naniniuu Ni Wewe?
Mbona Kama Sijakamata.ikiwa moja kati ya haya mawili yaliwahi kukutokezea unaweza kuelezea hisia ulizokabiliana nazo japo kwa kutumia source code?
- hivi kwenye maisha yako imeshawahi kutokezea umechumbiwa na rafiki yako wa kiume ukamkatalia?
- kwenye maisha yako imeshawahi kutokezea umempenda rafiki wa kiume ila yeye akakukataa?
Mbona Kama Sijakamata.