Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Umecheka na kunipa onyo, ngoja nimpunguzie binti korean dramas kabla hajamzidi huyu maana kwa sasa wako sawa 😅🤭

Labda tu nikwambie, nimemuambukiza Kim Nam Gil syndrome!
Mpaka leo drama yake pendwa ni Dr. Heo na Island zote!
Vipi uliweza kuimaliza "My happy ending" na vipi umeionaje
 
View attachment 2943392
kupitia thread hii unadhani ni yupi mzazi wa huyu mtoto?

nimecheka
Nina mtoto wa sister naona nishamfikisha huku
Anakeshea drama jaman akiamka 2hr anajiandaa shule
Shida ananiweza mie sa nne niko hoi bas ye anaamka anafungua device nikishtuka saa saba nakuta anatizama namsema, zaman nilimguide ambazo zitafaa kutazama ila saiv nahis akifungua tu anatizama yoyote.
 
Hii na mimi inanitikisa
Wale main cast wanapitishwa misukosuko haswa adi naona nisubirie iishe kwanza mana usikute kuna sad ending
Nyakati ngumu zaja hasa kuanzia episode ya 7 wale wabaya ambao wana mpango wa kuiharibu Queens Group Family wameamua kumuweka mtegoni Hyun-woo ili afukuzwe maana ndio mtu anayeweza kuwa kikwazo katika mipango yao

But kwa upande wangu sad ending ina possibility kubwa hasa Hyun-woo na Hae-in wakiwa forced kuachana kwa talaka ndio basi sidhani kama wataoana kwa mara ya pili zaidi ya kurejesha ukaribu pale mbaya atapojulikana na watakuwa pamoja katika muda mfupi na kutengeneza moments za mwisho za Hae-in

Kama ndoa yao isipotikisika wasipoachana nitasimama na 1% ya muujiza kutokea kwa Hae-in kutibika tatizo lake
 
Mimi naona ntasubiri iishe kwanza mana ni kweli usemavyo kuanzia episode ya 7 mambo yatakua magumu kwelikweli
 
Kama ndoa yao isipotikisika wasipoachana nitasimama na 1% ya muujiza kutokea kwa Hae-in kutibika tatizo la
Queen of Tears Ukiangalia mwisho mwa episode ya 6 mwandishi anaendelea kutudokeza mwendelezo wa anguo la FL na ML,

Maana nafasi ya ku kutoku divorce ni 95% (Kwa kuzingatia vigezo na ushahidi feki uliopandikizwa)
Pia FL hataamini kama ML kwamba ni msaliti

Lakini ukizingatia uchunguzi anaouedeleza Aunt wa FL itasaidia kwenye muendelezo wa kufichua siri za wanaotaka kuangusha Queen Group

FL nahisi hatapona hiki ndio kinachoniwazisha sana (nakumbuka kwenye Big mouse)..

Sikumbuki vzuri mwandishi alimalizaje kazi zake za awali ila
My love from anaother star
Crashing land on you zilikuwa kazi bora sana ngoja tusubiri hii itaishaje....
 
wameachana, au kuna limbwata ya msumbiji imeingia kati
1711786843107.png
 
Queen of Tears Ukiangalia mwisho mwa episode ya 6 mwandishi anaendelea kutudokeza mwendelezo wa anguo la FL na ML,

Maana nafasi ya ku kutoku divorce ni 95% (Kwa kuzingatia vigezo na ushahidi feki uliopandikizwa)
Pia FL hataamini kama ML kwamba ni msaliti

Lakini ukizingatia uchunguzi anaouedeleza Aunt wa FL itasaidia kwenye muendelezo wa kufichua siri za wanaotaka kuangusha Queen Group

FL nahisi hatapona hiki ndio kinachoniwazisha sana (nakumbuka kwenye Big mouse)..

Sikumbuki vzuri mwandishi alimalizaje kazi zake za awali ila
My love from anaother star
Crashing land on you zilikuwa kazi bora sana ngoja tusubiri hii itaishaje....
Baada ya,episode ya leo nimekata tamaa ugonjwa wa Hae In umeanza kuwa serious kapoteza kumbukumbu na kumwambia Hyun Woo kuwa anampenda dah mwamba akajua tayari kushakucha akamkumbatia kwa machozi

Yule mpuuzi Eun Sung aliiba dawa za Hae In baada ya kujua hali yake na tushajua kuwa jamaa na yule Girlfriend wa Grandpa ni mtu na mwanae

Hapo Hae In alishaweka dole gumba katika divorce papers sasa kashasahau kila kitu,kumbukumbu zikija tena bila shaka ni kivumbi

Nimemyoosha mikono kuwa 100% ni sad ending tuandae condolences mapema kwa FL
 
Baada ya,episode ya leo nimekata tamaa ugonjwa wa Hae In umeanza kuwa serious kapoteza kumbukumbu na kumwambia Hyun Woo kuwa anampenda dah mwamba akajua tayari kushakucha akamkumbatia kwa machozi

Yule mpuuzi Eun Sung aliiba dawa za Hae In baada ya kujua hali yake na tushajua kuwa jamaa na yule Girlfriend wa Grandpa ni mtu na mwanae

Hapo Hae In alishaweka dole gumba katika divorce papers sasa kashasahau kila kitu,kumbukumbu zikija tena bila shaka ni kivumbi

Nimemyoosha mikono kuwa 100% ni sad ending tuandae condolences mapema
Hapa ni pamoto sasa nusu ya pili ndio tutaona maujanja ya mwandishi lakini nahofia ni sudden ending...
 
Mzee
Unaambiwa huwezi ijua kesho yako familia ya Queens Group imeanguka wameenda kuishi kijijini kwa akina Hyun Woo

Watu wabaya wamefaulu
wa spoilers tuliaa
Ila alojikaza atizame had ikiisha anawezaje maana ina kimuhe muhe hii drama
 
Back
Top Bottom