Kwa wapenzi wa documentaries

Silicon cowboys. hii inazungumzia jinsi kampuni ya kutengeneza kompyuta ya Compaq ilivyoanzishwa na ushindani wake na IBM. Nzuri sana.

 
Titanoboa. inazungumzia jinsi ma archeologist waligundua mabaki ya nyoka mkubwa sana. ni nzuri na ipo kitaalamu sana.

 
Mkuu sijaona za bongo hapo pia zipo na ninzuri sana
 
before the flood. hii ni documentary ya NG na imetengenezwa na Leonardo Di Caprio. inahusu global warming. ni nzuri sana, hasa kumuona Dicaprio akiwa sehemu mbalimbali duniani.
 
Born in China, inahusu maisha ya panda, chui wa kwenye barafu na nyani fulani huko China. inavutia kucheki na familia.

 
Magic money Bitcoin revolution. inaelimisha sana. walau sasa najua Bitcoin ni kitu gani.

 
Cuba and the cameraman. hii ni documentary ya muandishi wa Marekani aliyekuwa akifuatilia maisha ya wacuba toka mapinduzi hadi kifo cha Fidel. Documentary safi sana.

 
Humann flow. hii inahhusu uhamiaji wa kutoka Africa , middle east nk.
 
Hii hapa documentary Kali ya mkali wa documentary mwenyewe Morgan freeman kutoka kwa wakali National geographical channel, mzigo unaitwa the story of God.
 
Last edited:
Bonge moja ya documentary kumhusu mungu na imani za dini nyingi mno Duniani. Inafungua sana macho juu ya imani zetu za kidini na uwepo wa Mungu.
 
Mwanafunzi wa Aristotle.
yap. Alikuwa na maarifa ya kutosha. basi kwenye documentary wanasema Aristotle alimwambia make no assumptions, analyse kila situation independently. Bonge la madini sema kufuata ni kazi sana, kufanya mambo kwa mazoea hurahisisha kazi
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…