mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,734
Twende mamaWewe tutaenda CET garden tukale samaki wa kuchoma......au kwa Nick samaki foil.......
Twende mamaWewe tutaenda CET garden tukale samaki wa kuchoma......au kwa Nick samaki foil.......
hahahahahaaaa ila inatisha bora mchicha tuuumshana jr;
Kwa nini unaharibu biashara za wenzio?? Wajua wapo watu watachukulia kuwa kila mchemsho ni hayo makitu huchemshiwa huko?
Mfano; Wapo watu waliaminigi kuwa pale Mbwewe tulikuwa tunalishwaga kunguru badala ya kuku enzi zile mabasi yakisafiri usiku. Ka si Mrema kuzuia safari za usiku, nadhani watu wangeshakuwa mabilionea kwa kuku choma wa Mbwewe. Na wee usimsaidie Mrema kuharibu biashara banaa agrrrrr. Halaf tizama hiyo picha yako. Mpaka nyama zingine zimekuwa ka mi.mba za kiti moto. Chaa oteee. Halaf tena leo nilikula mchemsho dah! Hata tumbo limenguruma
mmmmmmm hapa kazi kweli kuna aina ngapi za vichwa?Kichwa kipi....... juu au chini..Nyani yupi...... sokwe kima au tumbili....?
Nawahi basi la mwendo kasi nakuja Kassie wangu. Tafadhali nikukute without kabisa.
Nakuja kutumia ulichojaaliwa na maulana....
mmmmmmm hapa kazi kweli kuna aina ngapi za vichwa?
😕 mm cna nenoNyingi tuu... kichwa maji kichwa nazi kichwa brain etc. etc.
😕 mm cna neno
Hebu njoo huku. Muda ushaenda nami hamu inazidi nizidia....Amen
Edo means Tokyo...Ooh been in Japan eeh.... chota matte....
Kelso is a nice name ndo umefananisha na Kasie sio...?
And so you baptise me as Edo or Kelsi?
First give me the meaning of those names.
Kasie.
Edo means Tokyo...
Kelsi means a passionate lady with stronge desire of sex... sturborn at the same time.
Will call u Kelsi...[emoji6]
Hebu njoo huku. Muda ushaenda nami hamu inazidi nizidia....
Ooohh I didn't get it.... so you'll take me to Edo... mmmhh 19 hours in the air ..... as I love travelling..... won't be a problem.
Hahahahahahaaa there's a price to pay in baptising Kasie and change her name.....
Do you know the meaning Kasinde. ...?
Kasinde wee! You always amuse me! You're such an amazing charming ladyBabuuuuu you are rocking...... hope now your biology is functioning well 😛😉😉😉
You can say that again, darling.Babuuuuu you are rocking...... hope now your biology is functioning well [emoji14]😉😉😉
Ulaji wa nyama duniani si salama tena maeneo ya mijini. Ni kheri kufuga mnyama wako siku umechinja utakula ukijua kama ni kondoo au mbuzi lakini si kuletewa toka buchani au ughabuni utakula usivyotarajia.
Kweli ni tamu lakini ukijua unaumia sana. Nimewahi kula mbwa mkoa mmoja hapa nchini nikiambiwa kiti moto. Kwa kweli ni mtamu na ana mafuta sana mbwa ila nikikumbuka huwa sitamani kula nyama tena niwapo kule hususani maeneo ya pembezoni.Na nyama ambayo .hujawahi kula ukipewa unaona ndiyo tamu zaidi, hata wala mbwa ,panya husifia hasa !!
Time is part of the adventure too... We can do anything in the first class... apart from all,i'm taking you to the most expensive city in the world...Ooohh I didn't get it.... so you'll take me to Edo... mmmhh 19 hours in the air ..... as I love travelling..... won't be a problem.
Hahahahahahaaa there's a price to pay in baptising Kasie and change her name..... from Kasinde to Kelsi. ..
Do you know the meaning Kasinde. ...?