Hivi unajua nimekumisi mpaka baioloji yangu imegoma kufanya fizikia??Yeeuwiiii sinywi tena aka khaaa..... nimeona meso yanikodoa
Meso na maiyo...Yeeuwiiii sinywi tena aka khaaa..... nimeona meso yanikodoa
mshana jr;
Kwa nini unaharibu biashara za wenzio?? Wajua wapo watu watachukulia kuwa kila mchemsho ni hayo makitu huchemshiwa huko?
Mfano; Wapo watu waliaminigi kuwa pale Mbwewe tulikuwa tunalishwaga kunguru badala ya kuku enzi zile mabasi yakisafiri usiku. Ka si Mrema kuzuia safari za usiku, nadhani watu wangeshakuwa mabilionea kwa kuku choma wa Mbwewe. Na wee usimsaidie Mrema kuharibu biashara banaa agrrrrr. Halaf tizama hiyo picha yako. Mpaka nyama zingine zimekuwa ka mi.mba za kiti moto. Chaa oteee. Halaf tena leo nilikula mchemsho dah! Hata tumbo limenguruma
Mmnuuaaah.... mmmmuaah miss you more bae Asp. mmmmuuuuuaaahhHivi unajua nimekumisi mpaka baioloji yangu imegoma kufanya fizikia??
Kichwa cha nyani...
Nyani..Kichwa kipi....... juu au chini..Nyani yupi...... sokwe kima au tumbili....?