Kwa wanawake

Kwa wanawake

I see! Sishangai kuona ndoa nyingi hazina amani, kama vigezo ni vya akina Evelyn Salt .... anyway, thats the modern world we live in.

sio kila mtu anapenda pesa, sio kila mtu anapenda dushe, sio kila mtu anapenda uzuri.....n.k n.k
 
Vipo vingi na vinatofautiana mtu na mtu!
Baadhi;
-mwonekano(mtanashati )
- sauti yake anavoongea
-umbile(shape lol!) sexibode
-sura
-anavyotembea
-MALIGHAFI...(pesa,nyumba na kazi anayofanya)..inaongeza credit ila ndo common siku hizi!!

Umesahau nanhii....
 
Teh! Vigezo vingine kama wallet na kupenda d. ushe wewe huna? jaribu kufunguka labda tutapata muafaka..PL.

ndio maana nimetaka mwenye kitambi
yani lifisadi lenye hela zake!we una
mshiko wa kutosha kwani?nikufikirie hahaa!!
 
Msimamo wa mwanaume na tabia...huo ni uhandsome tosha kwao
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Kwi kwi umenichekesha kwl.labda km we mvivu kwny 6:-x 6
 
Back
Top Bottom