Kwa wanawake

Kwa wanawake

Vipo vingi na vinatofautiana mtu na mtu!
Baadhi;
-mwonekano(mtanashati )
- sauti yake anavoongea
-umbile(shape lol!) sexibode
-sura
-anavyotembea
-MALIGHAFI...(pesa,nyumba na kazi anayofanya)..inaongeza credit ila ndo common siku hizi!!

ni kweli kabisa my dear!
 
1. Mpe hela
2. We endelea kumpa hela
3. Nasema mpe hela weeee
4. Zote hapo juu
5. Hakyamama nakwambia we mpe hela
 
1. Mpe hela
2. We endelea kumpa hela
3. Nasema mpe hela weeee
4. Zote hapo juu
5. Hakyamama nakwambia we mpe hela
Kuna pull na push factor!!,hii ni push factor,lazima akupende!!!
 
Cha mwisho mwanamke anaweza akakupenda kwa ki2 cha kijinga kbs i.e macho,kifua au lips zako... Ila mwisho wa matatizo ni hela zako..
 
Jiulize k-lyn kampendea nini reginald mengi mpk kumzalia watoto wawili,ukipata jibu wekea nukta.
 
Back
Top Bottom