Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Hapo sasa umesema wangu.....ila kale kamchezo kwanza afu tutaenda shopping ya baby candy!
aaakhuuuuu!!candy shop kwanza
halafu ndio mengine yakuje bana!!
Hapo sasa umesema wangu.....ila kale kamchezo kwanza afu tutaenda shopping ya baby candy!
aaakhuuuuu!!candy shop kwanza
halafu ndio mengine yakuje bana!!
aaaakh bhana, yaani hata sijapata mavituzi unataka candy! Kamchezo kwanza, maufundi yako nikuweke kwenye mizani
heheeee!!unifanyie majaribio
kwani mimi toyo,sitaki mie khaaa
Kila kitu kinafanyiwa test.....teh! Hujambo lakini!