binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,155
- 34,583
Utaniponza! 😂😂😂Safari hii nitauliza ,mbona haiko hiviiii 🤏 au mbona iko hiviiii🖖
Asante kwa kunifumbua,no unyonge .
kwako pia rafiki
Utaniponza! 😂😂😂Safari hii nitauliza ,mbona haiko hiviiii 🤏 au mbona iko hiviiii🖖
Asante kwa kunifumbua,no unyonge .
kwako pia rafiki
Mimi sihusiki, yaani sipo! au nimuite aone hii comment yako kiwake?Umenifumbua nitafute wachumba hapa kijiweni ,nikisubiri yake pekee nitachacha..!
Ngoja nichague warembo umri wangu
Nisamehe bure🤣Mimi sihusiki, yaani sipo! au nimuite aone hii comment yako kiwake?
😂😂
Maumbile kama yanabana au...Muone nini lo??? Hata sijasoma uzi