Kwa wanawake wenye tabia kama hii

Kwa wanawake wenye tabia kama hii

Kama picha za papuchi wanatuma unamwambia tu akutumie picha ya kitumbo kikiwa wazi na yeye mwenyewe aonekane hataki basi,
 
hahahahahah sasa unakutana na wanawake wengine wana matumbo utafikiri mjamwembesi siana jifotoa tu anakutumia akilitunisha plus tumboo kubwa waamini ni mjamwepesi(mjamzito)
Kama picha za papuchi wanatuma unamwambia tu akutumie picha ya kitumbo kikiwa wazi na yeye mwenyewe aonekane hataki basi,
 
wajinga ndo waliwao.... hapo ni kumkataa unamwambia kwanza mi sizalishi imekuaje upate mimba yangu, tena unakua mkali ka ulimtolea mahari... lazima alete babe am kiddin'
 
Mjini mipango, akili ikichakarika mbona hufi njaa eti. Ila kuna wanaume sijui niwaite mazuzu au wazembe, anajifanya tu kutuma pesa while hajaona cha tumbo la mimba wala huyo mtoto eeeh jamani
 
Hapo sasa na ana pelekwaje hahahah mdada mwenyewe anasema mpaka nijenge nyumba teh teh wajinga ndo waliwao.
Mtu hatakama chora huwezi gandamizia washindwa jamani

Wewe mbona kila nikikutafuta hautafutiki? Nimemtuma Khantwe akulete Fasta sana. Manake mimi nikishamiss mtu sina vumilie kidogo. Njoo fasta Pm. mia
 
Last edited by a moderator:
Wewe mbona kila nikikutafuta hautafutiki? Nimemtuma kantwe akulete Fasta sana. Manake mimi nikishamiss mtu sia nivumilie kidogo. Njoo fasta Pm. mia

Mimi ntakuja ila huyu haji....muulize mwenyewe kama anabisha
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa na ana pelekwaje hahahah mdada mwenyewe anasema mpaka nijenge nyumba teh teh wajinga ndo waliwao.
Mtu hatakama chora huwezi gandamizia washindwa jamani

Mwisho wa siku akimaliza kujenga, ataambiwa mtoto kafariki, tuma hela ya mazishi.
 
Back
Top Bottom