Kwa wanawake wenye tabia kama hii

Kwa wanawake wenye tabia kama hii

nilikuwa najiuliza ni kwa nini watu wameanzisha mchezo wa tigo! kumbee....
 
Aliyewaumba ''Mungu'' anatuagiza WANAUME tuishi na wanawake kwa AKILI... Nikifikiria Yeye ni Mungu, halafu anatuambia wanaume eti japo huyu mwanamke mimi ndio nimekuumbia, lakini kaa naye kwa AKILI... ni statement nzito sana na inatulazimu wanaume tujiongeze sana.

Wanawake hawapo kama tunavyowadhania wapo kirahisi rahisi tu hivyo. Usiniulize kwa nini... tafuta mwenyewe.
Kwanini alisema hivyo?
 
Kudanganywa wanapenda wenyewe....wewe una mkeo unachokitafuta kwa watoto wa mjini ni kitu gani???Halafu unakutana na mwanamke wa nje bila kinga!!
 
Back
Top Bottom