figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,191
- 64,600
Njoo kwanza niwaunganishe na Mtambuane. miaKaondoe kwanza hako kamtu.mia
Njoo kwanza niwaunganishe na Mtambuane. miaKaondoe kwanza hako kamtu.mia
Kwanini alisema hivyo?
Na mwanamke ni mtu mwenye siri nzito moyoni mwake anweza akakupa uongo huo ukazani kweli sasa usipojua jinsi ya kuishi naye atakusumbua
oooh sorry nikajua me!Teh teh mmewasikia akiina nani?Mie TEAM Ke ati
Upo sawa kabisa a Woman is a reflection of God's Love and a Man is a reflection of God's Wisdom.....Anajua alivyowaumba nyie, anajua uwezo mlio nao wa kum-boresha mwanaume au wa kum-bomoa toka juu hadi mavumbini. Anajua ujanja na sintofahamu mlionayo, anajua namna mnavyoweza kubadilika kutoka umalaika hadi yale yasiweza kusemekana. Anajua kusimama kwa wanaume kwenye huduma alizowaitia kunachagizwa sana na nyie na pia kunabomolewa sana na nyie tukianzia na yaliotokea pale bustanini, kwa Ibrahimu, kwa Yakobo, kwa Samsoni etc etc Anajua mna nguvu sana ya ushawishi either wa heri au wa HILA kwenye jamii.. anajua pia mnavyoweza kunaninii???????????????????... etc etc etc..
Upo sawa kabisa a Woman is a reflection of God's Love and a Man is a reflection of God's Wisdom.....