Kwa wanawake walioko kwenye ndoa tu

Rudia utafiti huu humu, ulinganishe na huo ambao huhataja umefanyika lini, wapi na nani. Sampuli ilikuwa wangapi, na swali liliulizwaje, nk!
Wanaume wote waliocoment wamereflect matokeo ya utafiti wa awali
 
Sema ni majority ya wanaume; "All" is a very stong word . Still wapo wanaume ambao ni waaminifu sana tu. Sema wengi wetu tunajipa moyo kuwa wote wanacheat kama justification kuendelea kuwa abused emotionally. Ukiamua kuvumilia/ kumbeba partner mchepukaji mvumilie/mbebee tu, but usije kujipa matumaini kuwa all men cheat, Haipo hiyo
Saying that, Ndoa zote zina changamoto, ila kuna wanandoa ambao uaminifu haujawahi Kuwa changamoto kwao kabisa.
Hakuna mwanaume asiecheat...wala ndoa miaka yote mwenzi mmoja asiecheat, ni hali halisi katika mahusiano mengi
 
Sema ni majority ya wanaume; "All" is a very stong word . Still wapo wanaume ambao ni waaminifu sana tu. Sema wengi wetu tunajipa moyo kuwa wote wanacheat kama excuse ya kuendelea kuwa abused emotionally. Ukiamua kuvumilia partner mchepukaji mvumilie tu, but usije kujidanganya kuwa all men cheat, Haipo hiyo
Saying that, Ndoa zote zina changamoto, na kuna wanandoa ambao uaminifu haujawahi Kuwa changamoto kwao kabisa.
Very True
 
Sema ni majority ya wanaume; "All" is a very stong word . Still wapo wanaume ambao ni waaminifu sana tu. Sema wengi wetu tunajipa moyo kuwa wote wanacheat kama excuse ya kuendelea kuwa abused emotionally. Ukiamua kuvumilia/ kumbeba partner mchepukaji mvumilie tu, but usije kujidanganya kuwa all men cheat, Haipo hiyo
Saying that, Ndoa zote zina changamoto, ila kuna wanandoa ambao uaminifu haujawahi Kuwa changamoto kwao kabisa.
TRUTH.

Me nilichojifunza ni kujiweka karibu na watu watakaowa influence vizuri.

Tatizo couple zisizo na tbs ndo zina sauti sana coz hapo kuna wanaume cheaters wanaotafuta kutetewa na jamii na wanawake wanaotafuta amani moyoni.

Halafu huwa napenda Iwe face to face talk manake kuna couple tu ukiziangalia you wouldn't even want to hear what they have to say about relationships. That is if you can even bring them together to ask. They always have excuses to be far apart :D

Wanaume wenye viwango na maadili wapo, I think its just a matter of where you're looking.

Get a good old couple for a mentor. Nothing more heart warming than an aged man telling you, "if a man is not willing to cheat, he won't, I testify".
 
Sema ni majority ya wanaume; "All" is a very stong word . Still wapo wanaume ambao ni waaminifu sana tu. Sema wengi wetu tunajipa moyo kuwa wote wanacheat kama justification kuendelea kuwa abused emotionally. Ukiamua kuvumilia/ kumbeba partner mchepukaji mvumilie/mbebee tu, but usije kujipa matumaini kuwa all men cheat, Haipo hiyo
Saying that, Ndoa zote zina changamoto, ila kuna wanandoa ambao uaminifu haujawahi Kuwa changamoto kwao kabisa.
Yah fine,MAJORITY.... and most women are married to that majority... True test ya mahusiano ni uaminifu I tell you, hzi bifu ndogondogo zingine cha mtoto,..
 
He he he eti kuna couple zinatafuta excuse za kuwa apart always lol, sad though

Kwa kweli involve yourself na couples zinazoishi kwa uaminifu, zitakutia moyo kwenye safari ya mahusiano. Ingawa tulivyohalalisha michepuko, mwanaume atakayesema hacheat anaitwa "MNAFIKI" ha ha, tunataka na wao wajisifie kucheat eti hata kama hawacheat. We'll always find a way to bring down a honest and faithful man, Mungu atusamehe khaaa. Ukijiendekeza na uzinzi basi unataka na wenzako wote wawe wazinzi, shame. Kudos to all men wanaoheshimu viapo vyao vya ndoa

"If a man is not willing to cheat, he won't cheat no matter how bad it is".

Teh basi I hope and pray kuwa katika hao "minority" ya wanaume wasiocheat, Mungu atanipa wa kwangu mmoja. Huyo mume serial mchepukaji; Mungu amtie tu kaupofu ka kiroho asinione, nisije ikosa mbingu kisa yeye arghhhh. Majority wanakuwa cheated, but sio wote wanastick na mume mchepukaji

Wewe ndo unaona uaminifu ni deal breaker. Kuna wanawake wengi watakwambia acheat tu ila nisijue. Na wengine anakwambia as long as ananijali na watoto, basi acheat tu. Huruma jamani mweee, sio Kwa kujikatia tamaa huko
 
He he he eti kuna couple zinatafuta excuse za kuwa apart always lol, sad though

Kwa kweli involve yourself na couples zinazoishi kwa uaminifu, zitakutia moyo kwenye safari ya mahusiano. Ingawa tulivyohalalisha michepuko, mwanaume atakayesema hacheat anaitwa "MNAFIKI" ha ha, tunataka na wao wajisifie kucheat eti hata kama hawacheat. We'll always find a way to bring down a honest and faithful man, Mungu atusamehe khaaa. Ukijiendekeza na uzinzi basi unataka na wenzako wote wawe wazinzi, shame. Kudos to all men wanaoheshimu viapo vyao vya ndoa

"If a man is not willing to cheat, he won't cheat no matter how bad it is".

Uaminifu umekuwa sifa mbovu mno! Haivutii kabisa!! In fact, you thinking there are faithful people out there is childish and day dream!!

VERY SAD.

Haina tofauti na wanaofikiri wanaume wafanya kazi za nyumbani hawapo. Kuna moja humu aliniambia "wewe tv inakudanganya umeshawahi kuona wapi mwanaume anafanya kazi za nyumbani" :D

I guess this is the female version.

Some people are living in this tiny box wanazunguka zunguka humooo and that's all they know. Hawajui hilo box liko kwenye go down lenye thousands of boxes.
 
Sema ni majority ya wanaume; "All" is a very stong word . Still wapo wanaume ambao ni waaminifu sana tu. Sema wengi wetu tunajipa moyo kuwa wote wanacheat kama justification kuendelea kuwa abused emotionally. Ukiamua kuvumilia/ kumbeba partner mchepukaji mvumilie/mbebee tu, but usije kujipa matumaini kuwa all men cheat, Haipo hiyo
Saying that, Ndoa zote zina changamoto, ila kuna wanandoa ambao uaminifu haujawahi Kuwa changamoto kwao kabisa.
Hebu pewa ulanzi wa buku hapo...nitalipa
 
Nahisi nikioa nitakuwa kati ya hao 37. Kwenye mahusiano nikiskia au nikajua mwenzangu anacheat huwa sinaga longolongo.
Daby mi naomba tuache tu kuchepuka kaka yako usikute yupo kwenye hao wa 3
 
Back
Top Bottom