Umeona eeeh?? Yaani kichwa kweli kweli... akiingia pale in two weeks tatizo la umeme kuchinehi....lol
Mmmh! my wii .... so he carries you around... Dah! (mkiwa mnafanya nini vile?? lol)
"did mom do anything in particular today" wakati yeye mwenyewe yupo hapo pembeni anasubiri jibu? Atabadilisha topic na kumbana mama kwa nini anawaacha watoto wanaangalia TV asubuhi badala ya kuwa shule wakati shule zimefungwa. LOL.
Plus some overtimes za kusukuma magari. Na mie nitaomba kazi pale ili asukume gani langu. Full raha. LOL. .
At least maana Duh! .
ha ha ha.... hapo the mom umenuna na kumfingia pia....lolz
Jamani... jamani... Dah! Najuta!!!
Thank God!! Umekuja you your senses....lol.. Nilianza kua na wasi unatumia explorer siku hizi badala ya firefox....
Utajuta b'se itakuwa ni full kusukuma magari (tena langu ni heavy zaidi) akija home ni hoi bin taaban and straight to bed bila mchezo. Halafu utakuwa unahisi kama anatumia explorer. LOL. Then, utakuwa unaanzisha uzi hapa mara mume tokea anze kazi kwenye ofisi mpya imekuwa hivi na hivi.
Lmao.. Hii post inanifanya niage na nienda kulala... yaani mapigo matatu in two sentences... lol
In green imeniacha hoi.... lol... Hapo EMT anafurahiiiii!! na kuja with - told you so!
Sasa je? You take care my friend. Good morning. Remember to push with your legs, not your back. LOL
Maskini wanatia huruma itakuwa ni maofisa masijala maybe, halafu wote mbona kama wana wowowo?
Maskini wanatia huruma itakuwa ni maofisa masijala maybe, halafu wote mbona kama wana wowowo?
Najaribu kujiuliza hivi kama wewe ni mke, girlfriend au hata nyumba ndogo wa mmoja wa hao wanaolisukuma gari la Jairo, ungejisikiaje pindi ulipoiona hii picha kwenye vyombo vya habari ukitegemea asubuhi na mapema mpenzi wako alikuaga kwa mabusu makali kuwa anakwenda kazini?
Kuna shida gani as long naishi vizuri hata kama anamsaidia kuflash chooni i don care
EMT, inasikitisha aiseeNajaribu kujiuliza hivi kama wewe ni mke, girlfriend au hata nyumba ndogo wa mmoja wa hao wanaolisukuma gari la Jairo, ungejisikiaje pindi ulipoiona hii picha kwenye vyombo vya habari ukitegemea asubuhi na mapema mpenzi wako alikuaga kwa mabusu makali kuwa anakwenda kazini?
thax sis miss u a lot.nice wkendBebii hongera kwa Avatar... nice one...