Kwa wanawake tu: Jinsi ya kuboresha na kufurahia tendo la ndoa

Je nikipata miti yenyewe mimi siwezi kujitengenezea mwenyewe? Maana nyumbani ipo sana watoto wanakulaga ni vitamu vikiiva.

Nimejaribu kuangalia mtandaoni nimesoma soma ila sijapata maelezo sana sana wanasema inasaidia kujifungua salama.

Kwanza nitaanza kuulizia maduka ya wahindi na supermarket kubwa kubwa nione.

Huo mti nyumbani kwetu upo ntamuomba mama aupige picha ntakutumia nihakikishe kama ni wenyewe.

Ila naomba ukipata any idea naomba unijulishe. Thanks.

Sawa kweli mapacha unawataka

Nadhani kutakuwa na tutorial youtube ya namna ya kutengeneza chai yake sidhani kama ni kazi sana ukipata mti utashare na mimi nione km ndo huo kuna uwezekano wa ku save gharama na mda
 
I'm almost 40
Hakuna wakati
I want it
I need it
I initiate it
I love it
I celebrate it
I dance it
I sing it
I enjoy it
Exeeeeeeeeetra exeeeetraaa( in my Mwalimu wangu wa English voice)
Yani weka humo maneno yote kuelezea how LOVE MAKING is making Sense AFTER 35yrs kwa mwanamke(well ,pengine kwangu )
Sio kwako peke ako shoga angu. Yani kama Libido ndo inakua libido haswaa. Huwa nawachekesha rfk zangu nawaambia Mbona kama kuenjoy kunazidi? au Mungu anatupa bonus kabla ya menopose
 
Sio kwako peke ako shoga angu. Yani kama Libido ndo inakua libido haswaa. Huwa nawachekesha rfk zangu nawaambia Mbona kama kuenjoy kunazidi? au Mungu anatupa bonus kabla ya menopose
Itakuwa kweli.
Mana aseeeeeh
 
Malalamiko yamekuwa mengi kina mama hatutaki kutoa unyumba visingizio kibao. Mara nyingi wanawake watu wazima from 35 hamu inakuwa hakuna .yaani tuseme upungufu wa nguvu za kike au nyreege
Sasa Kama wewe Una tatizo la kukosa hamu au south pole kunakuwa kukavu Fanya hili jambo rahisi tu utakuja kunishukuru baadae

Chukua bamia mbichi
Katakata vidogo
Loweka kwenye maji usiku Ku cha
Next day yawe ndo maji yako ya kunywa
Fanya hivo Mara kwa Mara hata ugegedwe na watu Mia wata slide tu .yaani hapo mume anaweza kukimbia nyumba yaani unakuwa ready 24/7

Pia ni dawa nzuri kwa wanaotaka twins
Naongea kwa uzoefu
Ukiwa na swali njoo pmView attachment 1900592View attachment 1900593
Sasa kwa kazi hio ya bamia je sisi WANAUME tukitumia itakuaje??
 
Siwezi kuacha uzi upite mbele ya macho yangu hata kama ni wa wanawake.
 
Unaitumiaje?

Naipika na kuchanganya na mboga nyingine kama hapo...

514AA4A1-EF32-4E2F-B933-FDFF5A64281E.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom