Kwa wanawake tu: Jinsi ya kuboresha na kufurahia tendo la ndoa

Sio kwamba it comes after 30?.

na mwanaume the older the better..he just knows.... kila kitu
Mi bana tu I am sexual active.
Nikiwa 16, πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nikiwa 20πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nikiwa 25πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nikiwa 30 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nikiwa 35πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Now 39 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Malalamiko yamekuwa mengi kina mama hatutaki kutoa unyumba visingizio kibao. Mara nyingi wanawake watu wazima from 35 hamu inakuwa hakuna .yaani tuseme upungufu wa nguvu za kike au nyreege
Sasa Kama wewe Una tatizo la kukosa hamu au south pole kunakuwa kukavu Fanya hili jambo rahisi tu utakuja kunishukuru baadae

Chukua bamia mbichi
Katakata vidogo
Loweka kwenye maji usiku Ku cha
Next day yawe ndo maji yako ya kunywa
Fanya hivo Mara kwa Mara hata ugegedwe na watu Mia wata slide tu .yaani hapo mume anaweza kukimbia nyumba yaani unakuwa ready 24/7

Pia ni dawa nzuri kwa wanaotaka twins
Naongea kwa uzoefu
Ukiwa na swali njoo pmView attachment 1900592View attachment 1900593
Biringanya,bamia, nyanya chungu vilinishinda kula kabsa
 
Mi bana tu I am sexual active.
Nikiwa 16, πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nikiwa 20πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nikiwa 25πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nikiwa 30 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nikiwa 35πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Now 39 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Hahah duhh
U started earlyyy...
Mi nimeanza kuenjoy real love making at 30+...
i thnk its kujielewa plus the kind of Man..maybe.,
 
Kwa kiswahili hili tunda linaitwaje? Nakumbuka tulikuwa tukivila tukiwa watoto, vikiiva sana vinakuwa na rangi ya purple si ndio?

Yah vipo iringa na mbeya baadhi ya maeneo...

Kiswahilo sifahamu ila hata mimi naifahamu miti yake ni jamii ya strawberry
 
Yah vipo iringa na mbeya baadhi ya maeneo...

Kiswahilo sifahamu ila hata mimi naifahamu miti yake ni jamii ya strawberry
Je nikipata miti yenyewe mimi siwezi kujitengenezea mwenyewe? Maana nyumbani ipo sana watoto wanakulaga ni vitamu vikiiva.

Nimejaribu kuangalia mtandaoni nimesoma soma ila sijapata maelezo sana sana wanasema inasaidia kujifungua salama.

Kwanza nitaanza kuulizia maduka ya wahindi na supermarket kubwa kubwa nione.

Huo mti nyumbani kwetu upo ntamuomba mama aupige picha ntakutumia nihakikishe kama ni wenyewe.

Ila naomba ukipata any idea naomba unijulishe. Thanks.
 
Mi bana tu I am sexual active.
Nikiwa 16, πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nikiwa 20πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nikiwa 25πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nikiwa 30 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nikiwa 35πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Now 39 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
At 40 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’£πŸ’£πŸ’£πŸ’£πŸ’£πŸ’£
 
Mi bana tu I am sexual active.
Nikiwa 16, πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nikiwa 20πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nikiwa 25πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nikiwa 30 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nikiwa 35πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Now 39 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Hongereni nawaonea wivu..mie hata 30 bado ila ndo sinaga mood za kila siku kila siku.Naona kabisa namkwaza baby ila sijui hata nifanye nini
 
Mbona kimya tena,wadada endeleeni kumwaga vitu humu,mafisi tunasoma comment kwa makini mno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom