Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,595
- 22,334
Hili neno. Naendelea kutafakari kwa kina.Ishi maisha yako kwa amani na utulivu
Hili neno. Naendelea kutafakari kwa kina.Ishi maisha yako kwa amani na utulivu
Huh sasa umepinga nini na ukaongea nini? Si umesema hakuna kanuni!! Hapo hapo ukasapoti kuwa kuna kanuni na tumeachana na kanuni hizo🙆♂️🙆♂️Fikra za ki feminists!!
Fikra za kutufanya ma grader ya jamii au tambara la deki!
Hizi ndizo zinaua jamii yenye afya na ustawi!!
Fikra za mleta mada hazina mashiko Wala haziwezi leta jamii yenye ustawi kama anavyodhani!!
Sisis ni zao la mababu na mabibi waliokua wachapakazi Kwa ajili ya familia bila kujali jinsia!walifanya KAZI kama nyuki kulima,kuchunga,kukamua maziwa kupasua kuni n k na Bado jamii iliheshimiana na kiongozi aliheshimika kama kiongozi!!
Huu mgawanyo wa majukum was hapo beijing ndio umetuletea shida Leo hii!!
Nenda kamsome mwanamke wa mithali 31 halafu fananisha na hicho kituko Cha mleta mada!!!
Theory za leo za mahusiano na ndoa hazijasaidia jamii Bali zimekuza ubinafsi na magonjwa yasiyoambukiza kama kisukari na presha!
Mimi zao la utoto wa zamani ambapo mama alibeba kuni na baba akabeba gogo Kwa matumiz ya nyumbani!
Baba na mama walikamua maziwa na kuchunga Ng,ombe na kulima pia!
Kuna shida gani ukifanya hivyo?Amesema umsaidie mkeo kazi za nyumbani. Maana yake kupika, kufua, n.k. tena mbele ya watoto.
Tlaatlaah aliposhikwa na njaa kwenye kampeni.
Acha kutubagaza🤣
Hilooo...Hiyo namba tisa hapana.
Mwanaume atimize majukumu yake kama mwanaume, na mwanamke kama mwanamke.Kuna shida gani ukifanya hivyo?
Hujajibu swali, kuna shida gani ukifanya hizo kazi?Mwanaume atimize majukumu yake kama mwanaume, na mwanamke kama mwanamke.
Rudia kusoma, nimeshakujibu.Hujajibu swali, kuna shida gani ukifanya hizo kazi?
Hapo tayari ushaona masilahi ya jinsia yako katika alichokiandika mtoa mada. Huwa hamtaki kabisa reciprocal, mnataka nyir muwe wapokeaji tu. Mwanamke uende kazini, kipato chako kisionekane nyumbani, na bado uhudumiwe mahitaji yako. Sasa una faida gani ndani ya nyumbaUshauri wa maana kama huu huwezi wakuta wanakusapoti. Ila ungeongelea umalaya ungesapotiwa hatari.
Side effects za feminism zipo wazi kabisa. Kupanda kwa rate ya talaka, anguko la taasisi ya ndoa, ongezeko la single mother, kupolomoka kwa maadili ya mtoto wa kike, kushuka kwa thamani ya mwanamke, uhasama wa kijinsia kwenye jamii n.k.. Ni feminism ipi iyo unasema haina shida?Huh sasa umepinga nini na ukaongea nini? Si umesema hakuna kanuni!! Hapo hapo ukasapoti kuwa kuna kanuni na tumeachana na kanuni hizo🙆♂️🙆♂️
Msingi wa Beijing ni "haki sawa kwa wote" kitu ambacho ndicho hicho hicho umekiongelea lkn katika misingi ya 'zamani'. Ufeminism hauna shida, shida ni tafsiri ya watafsiri.
Sasa nimeshaelewa kwanini hauni tatizo la feminism. Hauoni tatizo kwa sababu na wewe ni sehemu ya tatizoKuna shida gani ukifanya hivyo?
Namba 1 na 9 umeandika upumbavu tu.1. Haijalishi mkeo anafanya kazi na anapata pesa au hafanyi kazi, jukumu kumtunza yeye na familia yako ni lako wewe mwanaume.
2. Kifo sio kitu ambacho mwanaume anatakiwa kukiogopa, mwanaume anatakiwa kuogopa umasikini ambao utamfanya adharirike na familia yake kuishi kwa shida.
3. Kama mwanamke hakuheshimu kamwe hakufai na hatakufaa popote pale.
4. Katika maisha yako usije kumtelekeza mtoto, iwe umempata kwa bahati mbaya au maisha yako magumu tunza mwanao, usije ukamkimbia.
5. Hakikisha una vyanzo zaidi ya kimoja vya kukuingizia pesa, dunia haina huruma kwa mwanaume masikini.
6. Kama wazazi wako wapo hai hakikisha hata mara moja moja unawatumia pesa, sio lazima wakuombe, kuwa na utaratibu tu wa kuwatumia pesa hata pale wasipokuomba. Labda kama wazazi wako ni matajiri na hawana shida na pesa yako.
7. Kama upo na binti na unajua humuoi, usimrubuni kwa kumwambia utamuoa.
8. Hata kama upo busy vipi, hakikisha unapata muda wa kufurahia na familia yako.
9. Siku moja moja pata muda wa kufanya shughuri ndogo ndogo za nyumbani, msaidie mkeo kazi za nyumbani mbele ya watoto wako hasa wa kiume, hapa utakuwa unatengeneza wanaume bora kwa wake zao huko mbele.
10. Usiendekeze umalaya, usiendekeze pombe, utaharibu maisha yako.
11. Kuwa na msimamo hasa katika kutekeleza malengo yako.
12. Usivumulie kuvunjiwa heshima popote pale.
13. Shiriki shughuri za kijamii katika jamii yako, sherehe, misiba na mambo mengine.
14. Linda familia yako kwa gharama yoyote ile.
15. Familia yako iwe kipaombele namba moja katika maisha yako.
Ushamba tu na ulimbukeni sisi tumekua kuanzia watoto wa kiume tena miaka ya 90 unatumwa mashine huko kukoboa na kusaga mahindi maisha yalikua poa sana na baadae Mzee akaweka kipengele kingine kupika ni mtu yeyote anaewahi home uwe wa kiume au wa kike kwa hiyo wote tunajua kupika..Kuna shida gani ukifanya hivyo?
Hakika inashangaza, kucomplicate tu mambo bila sababu za msingi.Ushamba tu na ulimbukeni sisi tumekua kuanzia watoto wa kiume tena miaka ya 90 unatumwa mashine huko kukoboa na kusaga mahindi maisha yalikua poa sana na baadae Mzee akaweka kipengele kingine kupika ni mtu yeyote anaewahi home uwe wa kiume au wa kike kwa hiyo wote tunajua kupika..
Wengi wanaokataa kujihusisha na chakula cha home wanakula bar na wachoyo kwa familia zao wakirudi wameshiba..
Mtu hata kununua chakula sokoni eti hawezi mara moja moja na muda anao anaenda home kula chakula asichopenda na hela ipo.
Pana muhuni anakwambia hata kumbeba mtoto wake hapana aisee...Hakika inashangaza, kucomplicate tu mambo bila sababu za msingi.