Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 5,369
- 6,878
Mkuu kifo hakizoeleki, kinaogopesha kwa Kila mtuKifo sio kitu ambacho mwanaume anatakiwa kukiogopa,
Mkuu kifo hakizoeleki, kinaogopesha kwa Kila mtuKifo sio kitu ambacho mwanaume anatakiwa kukiogopa,
Nadhani kazi za nyumbani anazozungumzia ni kama kurekebisha vitu vidogo vidogo, kusimamia fundi, kumwagilia bustani, kufyeka nyasi, nk sio kupika, kuosha vyombo, kufua, kudeki nyumba..Hiyo namba tisa hapana.
Mwanaume wa kweli unatakiwa uwe tayari KUFA kwa ajili ya familia yako 😃Mkuu kifo hakizoeleki, kinaogopesha kwa Kila mtu
MWANAUME UNAOGOPA KIFO?Mkuu kifo hakizoeleki, kinaogopesha kwa Kila mtu
Stuka mkuu.Nilitaka kukubali, comment Yako imefukuza Pepo chafu kichwani
Wanaume wa siku hizi sijui vipi.. Sisi enzi zetu tulikua tunaenda vitani kupigana ili familia zetu ziishi vizuri 😃MWANAUME UNAOGOPA KIFO?
View attachment 3459143
Amesema umsaidie mkeo kazi za nyumbani. Maana yake kupika, kufua, n.k. tena mbele ya watoto.Nadhani kazi za nyumbani anazozungumzia ni kama kurekebisha vitu vidogo vidogo, kusimamia fundi, kumwagilia bustani, kufyeka nyasi, nk sio kupika, kuosha vyombo, kufua, kudeki nyumba..
Walikuwa majasiriWanaume wa siku hizi sijui vipi.. Sisi enzi zetu tulikua tunaenda vitani kupigana ili familia zetu ziishi vizuri 😃
Kola mtu mshauriTafuta pesa hayo mengine utazidishiwa
Jiji la matajir halinaga lon golongo tafuta pesa chasin your dream hizo zote ni porojo1. Haijalishi mkeo anafanya kazi na anapata pesa au hafanyi kazi, jukumu kumtunza yeye na familia yako ni lako wewe mwanaume.
2. Kifo sio kitu ambacho mwanaume anatakiwa kukiogopa, mwanaume anatakiwa kuogopa umasikini ambao utamfanya adharirike na familia yake kuishi kwa shida.
3. Kama mwanamke hakuheshimu kamwe hakufai na hatakufaa popote pale.
4. Katika maisha yako usije kumtelekeza mtoto, iwe umempata kwa bahati mbaya au maisha yako magumu tunza mwanao, usije ukamkimbia.
5. Hakikisha una vyanzo zaidi ya kimoja vya kukuingizia pesa, dunia haina huruma kwa mwanaume masikini.
6. Kama wazazi wako wapo hai hakikisha hata mara moja moja unawatumia pesa, sio lazima wakuombe, kuwa na utaratibu tu wa kuwatumia pesa hata pale wasipokuomba. Labda kama wazazi wako ni matajiri na hawana shida na pesa yako.
7. Kama upo na binti na unajua humuoi, usimrubuni kwa kumwambia utamuoa.
8. Hata kama upo busy vipi, hakikisha unapata muda wa kufurahia na familia yako.
9. Siku moja moja pata muda wa kufanya shughuri ndogo ndogo za nyumbani, msaidie mkeo kazi za nyumbani mbele ya watoto wako hasa wa kiume, hapa utakuwa unatengeneza wanaume bora kwa wake zao huko mbele.
10. Usiendekeze umalaya, usiendekeze pombe, utaharibu maisha yako.
11. Kuwa na msimamo hasa katika kutekeleza malengo yako.
12. Usivumulie kuvunjiwa heshima popote pale.
13. Shiriki shughuri za kijamii katika jamii yako, sherehe, misiba na mambo mengine.
14. Linda familia yako kwa gharama yoyote ile.
15. Familia yako iwe kipaombele namba moja katika maisha yako.
Mwanamke anaenda kazini kwa maana hiyo hayupo nyumbani kutimiza yale majukumu yake ya asili, hapo hapo kipato chake kisijumuishwe kwenye bill za familia, sasa huyo mke ana output gani kwenye ustawi wa familia.1. Haijalishi mkeo anafanya kazi na anapata pesa au hafanyi kazi, jukumu kumtunza yeye na familia yako ni lako wewe mwanaume.
Kazi gani unazoziongelea hapa? Kama ni kupika, kuosha vyombo, kukuna nazi izo hapana9. Siku moja moja pata muda wa kufanya shughuri ndogo ndogo za nyumbani, msaidie mkeo kazi za nyumbani mbele ya watoto wako hasa wa kiume, hapa utakuwa unatengeneza wanaume bora kwa wake zao huko mbele.
Kanuni zipo, kuacha kanuni ndiko kumetufikisha hapa tulipo, pa kulaumiana tu!Hayana kanuni!ishi tu!
Fikra za ki feminists!!Kanuni zipo, kuacha kanuni ndiko kumetufikisha hapa tulipo, pa kulaumiana tu!
Mzalendo toka Uandamane kupinga uonevu wa LisuKifo sio kitu ambacho mwanaume anatakiwa kukiogopa,